DIAMOND aandika haya baada ya kuitwa na TRA kufuatia malalamiko yake aliyoyatoa hivi karibuni

preview_player
Показать описание
Sasa unaweza kujiunga na SnS VIP Family ili kupata mambo mengi exclusive kwaajili yako tu. Bonyeza link hii ili kujiunga na kufahamu zaidi kuhusiana na SnS VIP Family membership
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Boss Kubwa🦁 Ashasema Mambo Yameenda Salama Na Pande Zote mbili Zimeridhika #wasafi#❤️🇹🇿

aaa
Автор

Asingeongea wangeendelea kumnyofoa pesa

Fabulousmom
Автор

Hawa wa serekali ni noma, na huwezi kupambana nao, nimepigwa $800 ya umeme kwa mwezi nikawapigia simu wakaniambia eti pay or we will disconnect it, hakuna ujanja nikalipa 🤔🤔🤔

D-Man.B-Free
Автор

*Naseeb Salim Nyange au Naseeb Abduli Juma? Mbona wadangaji munatuzungusha?*

komboomar
Автор

Hee jamsni NASIBU ABDULLI JUMA🤔🤔 TENA SIO

sharifaabdala
Автор

Dawa ya deni kulipa, sio kutia huruma kwa umma.

hukuUJERUMANI
Автор

Mwambie tuko bize na kondena fezakessy atajua mwenyew

julianamushi
Автор

He got no new
About music 🎵 over and over

rjb
Автор

Kwanini wamwite pembeni, watuwekee live ili watanzania wote, tujue. Siyo diamond peke yake mwenye kampuni au biashara kama hiyo. Diamond alililalamika kwenye mitandao na watanzani wengine walio umizwa na TRA. Hapa tatizo bado lipo tusidanganyane, naomba waweke live tujue kama kweli haki imetendeka.

mfebricknkuna
Автор

Kwahiyo dai bado anaendelea kutumia jina la Mzee wawatu na huku hamtaki?

madawamchuwa
Автор

Sialisema yeye tajir mbona anatia huruma

sponsor
Автор

Remix ya TOXIC Ile ya MWAKANI hii hapa jamaa ameua kinomaa🔥🔥🔥
👇👇👇

NaitwaChongx
Автор

Remix ya TOXIC Ile ya MWAKANI hii hapa jamaa ameua kinomaa🔥🔥🔥
👇👇👇

NaitwaChongx