Here is What Really Happened in Africa this Week: Africa Weekly News Update
Комментарии
Shida yet sis ni ipi mbona mnaodimamia feza Tanzania mnafumba macho wakati mnaona na mnasikia kiliochetu ! Mpaka Leo tunashindwa kubadil mfumo wa fedha Dola inatuumiza sanaaa
Asante I Sana china India urusi na Zimbabwe mungu atupe mwisho mwema
karamahfoudh
Hongera Sana Kwa Ndgu Zetu Wa ZIMBABWE na Nimefurah Kuona Wataipa Thaman Sarafu Na Kuendelea Na Matumiz Ya Dola Hii Itakuza Uchumi Wao Kwa Kasi Sana Na Nipo Hapa Nawaambia Hii Pesa Itakuwa Na Nguvu Kuliko Ya TANZANIA
abdulhamis
Mungu awa sahidie sana wa Zimbabwe na lipitiha mangi kiuchumi ..niliona abao tuna ishi man to south africa walifurahi sana ZIG inashida hata RAND .samani
moseskulola
Nilikua nasubili habari hii kwa lugha yangu ilinielewe maana niliiona harafu siku jua
ContentSmartphone-rqpo
Na sisi Tanzania tumechoka na minoti mingi yani thamani ya pesa yetu iko chini hadi kero
lulanjamd
Wangepiga chini matumizi ya US dollars ispokuwa kwa mahitaji maalum ili kuifanya sarafu iendelee kuimarika zaidi.
emmanuelmwambona
Sie sarafu yetu inazidi kuporomoka sijui tunnataka tuwe kama Zambia ni aibu sana
braystuskibassa
Hayo ndo mambo sasa sio minoti 10.000 elfu daah😂😂😂😂 hivi viongozi wetu hawaoni haya? TZ tunaouwezi wa kubadilisha hela yetu ikawa na samani zaidi ya Zimbabwe sasa kipi kimekosekana??
MrTop-wjno
Kibaya siku gold ikianguka ktk soko ZiG itakuaje
mohdmohd
Tanzania ndio nchi mama ya mafisad ulimwengun chuo Chao ni hapa we ukishindwa iba tz bac nchi nyingine huwez
yosefamlumbe
Nasi tufanye hivi maana tutaanza kununua voucher kwa elfu 10 siku sio nyingi
jumas.sendekwa
Nakubr san Zimbabwe maan wari zindua not moj ya saman ya juu sijuw unaikumbk mwandsh
shaibukhamis
SERIKALI YA C*M IKO TU INATUMBUA MACHO, HAINA HATA MKAKATI WA BAHATI MBAYA TUNAOUONA KUIMALISHA DHAMANI YA TSH. ZIMBABWE INAKUJA TOKA MAVUMBINI NA INAPITA HAPO HAPO TULIPO... WANASHINDWA HATA KUILINGANISHA NOTI YETU NA SERENGETI BASII😢😢😢
mr.lawimagupa
Tanzania nitaifa la MaBigi fish Mafisadi wanaiba mpaka mpaka roho unauma mijitu haina hata huruma na Aibu kudadek 😂😂😂tuponyuma kwakilaki2
HansChuma
😂😂😂😂😂haya sasa sisi kwetu tanzania kilasiku mama babu shangaz mjomba bibi 😂😂😂😂😂hamna kitu wizi utapeli unyan'gau ubwimbwi mtupu nchi kama zimbambwe ilikua bora ikaja ikawa shimo lanyoka mkate mmoja ulikua mihela kibao maisha yalikua magum hela dah ndio ilikua haina thamani kabisaa sema angalia sasa wanaanza kujiimirisha tena taratiib nayo😂😂😂😂😂labda
HansChuma
Naomba kujua na sarafu ya kenya please maana naambiwa imepanda
sleifikhajjir
ila rangi yake siyo nzuri inakaa kama risiti😂😂
Hadzabe_Hometribe
kwahiyo zig ya zimbabwe inathamani kuliko dolla sasa twende kwenye ubora wa maisha ukiambiwa uishi zimbabwe au uishi maekani utachagua kuishi nchi gani kati ya hizo??
nasibugunda
Shida yet sis ni ipi mbona mnaodimamia feza Tanzania mnafumba macho wakati mnaona na mnasikia kiliochetu ! Mpaka Leo tunashindwa kubadil mfumo wa fedha Dola inatuumiza sanaaa
Asante I Sana china India urusi na Zimbabwe mungu atupe mwisho mwema