TAARAB. CHONGENI FENICHA ..OMAR TEGO...

preview_player
Показать описание
#KAZIIENDELEE
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Serikali imekosea sana kusema kwamba mziki wa Singeli uwe kitambulisho cha Tanzania kimataifa! Taarab, hasa Modern Taaràb, ndio mziki wa Tanzania. Serikali ingeutangaza huu kama kitambulisha cha Tanzania.

SelemanIsmail-cz
Автор

Tego alkuja leta nadharia tofaut sana ya mziki wa taarab. Bahat mbaya aliukuta huu mzki ndo unaondoka…

yudaogonyi
Автор

Modern Taarab is the music of Swahili people, the Tanzanians.

SelemanIsmail-cz
Автор

Nawakubal Sana❤️❤️❤️nyimbo iko 🔥🔥🔥haichuj

marylyobha
Автор

The Modern Taarab melodies are purely Tanzanian. But, the Taarab Asila melodies are arabic.

SelemanIsmail-cz
Автор

Omary Apo unanikumbusha mbali cna mwaka2008 hatari cna kaka

jamilasaidi-vdjb
Автор

2009 henzi hizo ninampenz Nampenda Hatar uwiiii

moudboss
Автор

Nakumbuka Kipindi hicho napiga vigodolo tanzania...salute Sana malume omary tego....

MrishoMohammed-ob
Автор

Kizuri jamani hakiuliziwi chang'ang'aniwa tu

zaphaniahsakimayub
Автор

Hapo ilikua mchuano na mzee yusuph hhhh😂😂😂

SoudMkumbo-qgwm