Esma apigwa na tukio la kutapeliwa dukani kwake na wezi wa mitandao, asimulia ilivyokua

preview_player
Показать описание
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kuna wale wanangu hii kazi ya kusajili laini inatuendeshea familia zetu ila saiv imekuwa seriously sana tangu wiki ilio pita Ina trending kuna watu wachache wanatka kutuharibia so kama wewe unafanya hii kazi kama Mimi ushauri wangu tujiandae tu maan soon inaenda kuharibika daaah 😭 Mwenyezi Mungu atusimamie inauma Sana sana kwa sisi ambao tunaifanya kama kazi inayo endesha familia zetu tutaenda WAPi 😭 maaan unasoma comment watu wanavyo sakama Hadi Roho inauma 😭 yana ila wanangu Freelancer tusikate tamaa ni moja ya changamoto ila tuake tukijua kazini kwetu kuna kazi alooo

saeedmagoda
Автор

wezi ni mtihani sana, yaaaani inabidi kuwa makini sana.

kekiplusandonly
Автор

hao dada esma hao vijana wezi sana wanaosajili line

KuruthumKikuyu
Автор

Imetutokea juzi na ss walikopa ela wakachanganya na iliyokuwa kwenye m pesa yangu wakajitumia 😭

anethdaud
Автор

Mimi wacha ni baki na mlika mwizi au jina lingine kiturituri ile simu ndogo ndio natumia kwa mpesa

rerisamba
Автор

Yan sasa hivi nilitaka kutaperiwa nashika simu nakutana na taarifa hii awa weziiii aiseee🥺

salomeraymond
Автор

Ndio kesho ukisikia mwenzako kaibiwa usisema hana akili

rerisamba
Автор

Lakin mbona kuwajua ni rahisi pia kuwashitaki maana kuna mpesa statement namba ya mwisho kutumiwa pesa ipo tu

Mariam-fmvq
Автор

Mm ndo maan siwez kuweka pesa kweny simu i seeee imekuwa mbaya sana hiii i seeee

Officialjidaa-sncs
Автор

Mim. Nashangaa hawa Kwani awazuliki kwni watu wamlqka

allymtunge
Автор

Yaani hawa wasajili line ni wezi wezi hatari sana!

twiseghekisilu
Автор

Iliwah kumkuta best angu nayy ivo ivo laki mbil ikapiata

JenniferTemba-ti
Автор

mbona huo wizi upo siku nyingi sana mim nikisajili lain muda huo huo nabadilisha namba ya siri hata kama lain yangu haina hela

wemaMichael-frth
Автор

Me ndio maana Huwa siweki hela kwenye simu😂😂

mtulivu-irnq
Автор

Ila ushauri wa Idrissa ni hovyo sana eti mtu usimpe simu kama haupo pembeni yake ikiwa mtu anauwezo wa kuwa na Aap ya wizi ukiwepo atashidwa nini kukuibia baadae😂😂

joycemashikolo
Автор

Utakuwa hujaibiwa wewe maana kuwasamehe ni sawa na kuwaruhusu waendelee kuibia watu wengine

bakariyusuph-ufnc
Автор

Sio wizi hao wajinga tu .sasa namba unayotumia pesa si inawez kua tracked tu na cyber police. Unaweza kuifunga lakin usajili wa nida si upo

thabitdaudi