VAR YATUA BONGO, UTATA SASA BASI!

preview_player
Показать описание
DAR ES SALAAM: WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua mtambo wa Teknolojia ya Usaidizi wa Muamuzi kwa Njia ya Video (VAR) itakayotumika katika Ligi Kuu Tanzania Bara Msimu wa 2024-25.

Tukio ni maalum kwaajili ya kuonesha vifaa vitakavyotumika na Kampuni ya Azam media (Azam TV expose) kurushia michezo ya Ligi Kuu. Uzinduzi huo umefanyika leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.

VAR ilianza kutumiwa kwa mara ya kwanza mwaka 2016 katika mechi za majaribio na baadaye katika Kombe la Dunia la Klabu mwaka huo.

VAR ilianza kutumika rasmi katika mashindano makubwa kama Ligi Kuu ya England (Premier League) na Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League) msimu wa 2019-2020.

Katika Kombe la Dunia la FIFA, VAR ilitumiwa kwa mara ya kwanza katika Kombe la Dunia la 2018 nchini Urusi.
Follow us on:
FACEBOOK;

INSTAGRAM;

TWITTER;
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wangeweza kutengeneza hapa hapa nchini kuna wataalamu wanaweza kazi hiyo badala ya kutumia mamilioni nje

nyimbozawatoto
join shbcf.ru