#MIZENGWE Tafuta kazi

preview_player
Показать описание
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Napenda sana Sanaa mnayoifanya! Haijachakachuka, ni halisi kwa jamii na hata ninyi mna mwonekano wenye staha na mnajitambua vizuri sana.Hongera♥️👏

raphaelmwamakimbula
Автор

Hongereni sana kwa kuelimisha jamii. Nimejifunza mambo mazuri kwenu. Tofauti na wasanii wengine, nyie hamwingizi upumbavu wa mapenzi kwenye kazi yenu. Mnaelimisha jamii vizuri wazazi na watoto wanaweza kuangalia show zenu.

anthonygikuri
Автор

Nawapenda sana hawa watu 4! Wanafundisha saana. Michezo mifupi inafundisha saana na wangaliaa msaana sanaa

ummySheikh
Автор

Hii imeenda katika uhalisia na mazingira ya maisha yetu na jamii funzo kubwa sana

KnerySuleiman
Автор

mnafanya kazi nzuri sana, na zenye mafunzo makubwa sana. Hongereni sana Mizengwe

cyriluskaijage
Автор

Raha ni kubwa sanaa but mnachelewa sana kutupa burudani bravo 👏🏽 mizengwe

rasheedmganga
Автор

Mimi ndo mwenye mkosi😂😂daah mzee anamajibu

albinusnyaiyo
Автор

Nime subscribe lakini sipati notification.

mariamfritsi
Автор

Muda wenyewe huu wa penati, penati yenyewe napiga dochi 🙌🙌😄😄😄

andrewkaswagula
Автор

Umekuwa kma mjusi kila Kona unaonekan😂😂😂

albinusnyaiyo
Автор

Wapo wengi tunanyumba kariakoo kazi awafanyi

faudhi
Автор

Daah hapo mke wako akiliwa utamlaum nan😢

josephminja
Автор

Watoto wa mjini hao kazi ni shida kwao.

ashaali