AISEE! HUYU AHMED ALLY ANAJUA KUTAMBA - 'CHAMA KARUDI, HAKUNA TIMU YEYOTE YA KUIFUNGA SIMBA'

preview_player
Показать описание
AISEE! HUYU AHMED ALLY ANAJUA KUTAMBA - "CHAMA KARUDI, HAKUNA TIMU YEYOTE YA KUIFUNGA SIMBA"

KLABU ya Simba Sc wamewasili Jijini Dar es saalam leo Januari 14, wakitokea visiwani Zanzibar baada ya kuchukua ubingwa wa Mapinduzi Cup, kwa kuichapa Azam FC goli moja kwa Nunge.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)

⚫️ OUR PLAYLISTS:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mtangazaji ni yanga damu mpaka kuitaja Simba unashindwa

omarymkungwa
Автор

Pablo Tunaomba uzibiti nidhamu ya wachezaji, kombe la mapinduzi ni shughuli ya kitaifa lakini kombe la NBC na AZAM ni credit kwetu hivyo mkae mtambue YANGA ya mwaka Jana SIO ya mwaka huu, ligi ya mwaka Jana SIO ya mwaka huu.Bado kuna tatizo katika ufungaji, baadhi ya wachezaji nguvu hawana, CHAMA kaja ndio!Atacheza kama alivyokuwa SIMBA?Ukitaka kujua Angalia yanayomkuta John Bocco!

geraldbagole
Автор

Unasema ni msemaji wa Azam fc? Acha bangi.

charleskuyeko