Jinsi ya kutumia Sikaflex-11 FC

preview_player
Показать описание
Furahia bidhaa inayotumika kuziba na kugundisha vitu mbali mbali kama :

Kuziba uwazi kati ya kuta na frem za madirisha au milango, kugundisha kioo, chuma, tofali, zege, vigae, mbao, na kuziba nyufa za jengo zisipitishe sauti au kuvujisha maji au expansion joints.

Jipatie SIKAFLEX-11 FC!

Wasiliana nasi kwa namba ya Whatsapp ya 0699784926 / 925 uweze kufahamu zaidi na pia kuagiza bidahaa zetu.
Рекомендации по теме