Tazama ujenzi wa uwanja wa Yanga/'utakua kama wa Barcelona'

preview_player
Показать описание
Baada ya watani wao wa jadi Simba sc timu ya Yanga nayo imeanza ujenzi wa uwanja wao uliopo Kigamboni jijini Dar es salaam ambapo ujenzi huo upo katika hatua za awali.
Dar24 Media imefika eneo hilo na kujionea namna ujenzi huo ukiendelea.
#YangaSc #AntonionNugaz #WaziriHarrysonMwakyembe
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Asante kwa kigeregere, wanakereka sana na hicho kigeregere, love u yanga

marrysaimon
Автор

Hizi tafsiri zinazopita hapo mbona haziendani na video acheni kukurupuka

wilfredkuyonza
Автор

Mwanaume mzima kupiga vigelgele ndo nn ss au shoga

badrumbarouk
Автор

Dogo kaza buti nakuona unazidi kupepea nakuombea Sana utimize ndoto yako Dogo Somba

hamislipangine