CHIPS za KISASA | Kama una VIAZI Nyumbani Pika Hivi | POTATO STICKS

preview_player
Показать описание
Chips za kisasa. Potato sticks. Jifunze jinsi ya kupika chips kwa njia mpya kabisa. Haya Ni mapisha rahisi Sana ya viazi. MAHITAJI yake Ni rahisi kwa Kila familia.
MAHITAJI;-
Viazi (5-6)
Corn starch (200g)
Chumvi (kijiko 1 Cha chai)
Yai 1
Maziwa (vijiko 2 vya chakula)
Pilipili
Parsley / mbogamboga
Rosemary
Mafuta ya kupikia
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Great recipe.... thank you for sharing ❤️❤️

jastinmimila