filmov
tv
Ngoma ya EPL yaanza rasmi leo Agosti 11

Показать описание
Wanakisiwa wa Lamu wamesema leo usiku ni zamu ya Manchester City kupiga wenyeji Burnley kwenye mechi inayosubiriwa kugaragazwa uwanjani Turf Moor. Wengi wanasema Manchester City huenda ikawatandika wapinzani wao mabao yasiyopungua matatu. Mashabiki hao licha ya kwamba ni wa klabu tofauti, wanakubali kuwa Manchester City ni moto wa kuotea mbali.