Ndege yenye rubani wa ajabu imezilipua ndege 6 za Urusi, inaitwa Kibwengo
Комментарии
KAMA UMEIBIWA MTOTO MUNGU ATETE NA WOTE WALIOFANYA HIVO KWA JINA LA YESU NATAMKA HAYO AMEN
oprahpelle
Damu si maji dada yangu mtoto utampata maana yule alie gawa mtoto yupo anajua kampa nani makonda hawezi kunyamaza atakusaidia
safiyasafiya
Hospital za serikali 😢😢😢wanaroho mbaya sirudii Tena mie hospital hizo ngekufa live na mimba yng nesi anacheza game hanisikiliz kisa nmekosa elfu 60.
فاطمهفاطمه-شزج
Manesi wabanwe wanajua kila kitu, ila jmn hii. Dunia inaelekea wap??yaan kila sehemu usalama haupo jmn dah, , , mpen dada wa watu mtoto wake jmn mtoto anauma au mnataka hyo mama afe kwa mawazo??hv mnajua uchungu wa kuzaa kwa opareshen jmn😢😢😢😢😢
LindaMbilinyi-nn
Hta hyu meya anajua kila kitu khaaa hii dunia jmn😢😢😢😢
LindaMbilinyi-nn
Hii haikubaliki kabisa, hawa Manesi baadhi yao ni hovyo kabisa
ahmadiibrahimahmadi
Mwanaume mjifunze kutufuata wake zenu siku ya kujifungua ili muwe mnatusaidia kufuatilia sikuhiz wanaruhusu tu kuingia na mme wako wengine hata sio oparation tukijifungua tunazimia haya hapo mtu kama anania mbaya si anaiba tu mtoto 😢
EvaAden-nx
Na hiyo kumfunga vitenge ambavyo si vyako walimfunga ili uongee wajifanye kubadili vitenge Yani yote ni kutafuta tu sababu wamuibe
annamussa
Yawezekana huu mchezo wa mda mrefu hapo 40 zao zikawa zimefika
naturelle
Kubadilisha nguo ilikuwa ni kuzuga tu huyo mtt walishapiga mshindo wa pesa tayari mtt ashauzwa wala sio kwamba kabadilishwa kapewa mwingine kwa maelezo hayo walichokifanya wamekukusudia mungu amtie nguvu mwanawe apatikane akiwa hai😢
BabyllumajaLumaja
Jaman mimi nnavyofahamu ukifanyiwa upasuaj paleple na mtt anakua anawekwa pemben na alikua sawa sasa imekuaje hapo...
FatmaYusuph-lrpd
Mount meru sahivi limekua shimo la taka sitasahau hii hospital watu tumenyamaza tu😢
ShamilaMsengi
Hapa tulipofikia kama taifa...Mungu atusaide. Hii ni hospitali au jehanamu?
faithmlay
Kwani huyo mtt alipimwa Moyo saa ngapi? Mmh
rosemsaki
Duuuh huyu dada anapitia wakati mgum sana ila haki itatendekatu