BARNABA AJIBU KUACHANA NA MKEWE KISA PICHA NA YAMMY

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mwanamke kama huyo kaondoka mwenyewe atakaa mpaka ndugu zake waliokufa wafufuke, sbb ukiwa huna kazi hawakutaki ukiwa na kazi wanaleta mashart, naba anamiaka 18 kwenye game nyau asikupande kichwani, naomba like zakibishi hapa na zakutosha.

OmaryToba-qosi
Автор

Chamecha mbe kany ngoma n Kali sana sana meeku inatisha

PhocusKifaluka
Автор

yesss hayo ndo mapenzi jamani, lazima wivu uwepo

frankmarmo
Автор

Barnaba umeenda kuoa familia ya micharuko mama mkwe anaongea huyo kama chereani😅😅

emmanuelpaul
Автор

Kwa kweli sanaa Ina changamoto haswa kwa upande wa wanaume. Kwa msanii mtoto wa kike anapaswa.ajue.mume upo.kazin Yan nagundua kuoa ukiwa staa n isue mno ndio Mana weng n ma single.
Vijana tuwaze mbali.jaman Kuna muda wa kaz na mapenzi....

PhocusKifaluka
Автор

Hivi bira hiyo kazi dear unge mpata huyo mumeo jaman ungekaa na mumewako tu na kuyazungumza nasio kuleta kelele tu yaan ndoa bwana

EvaemmanuelMondea
Автор

Mkeo anataka umwangukie...Ukamnunulie gari, dhahabu au umpe pesa😂😂😂

yhasintakalenyula
Автор

Mambo ya Mke na Mme kaa mbali wote haya ni wivu akuna kingine

michaelmoro
Автор

Mwanamke akikimbilia kwao muache aende

Q_Lax
Автор

Ila barna yupo kazini kwani kumshika ndyo kafanya? Huyu mke hajiamini

magrethdaniel
Автор

ww barnaba ukimludia mkeo n ss waxabik tutakusepa

FranciscoOmar-uvne
Автор

Ukiolewa na msanii kubali madudu yote yanayoweza kujitokeza wakati wa kuigiza

josephatilunde
Автор

Nyie mnao jifanya washauri nakumbusha tu ogopa watu wanao ongea uchi

NajmaramadhaniAlly-ismf
Автор

Raya Hana jeuri ya kumuacha huyu mwanaume

lilybarongo
Автор

Ss upate mtu na kazi yake uchachuke ww

نجمةكينيا
Автор

Ila huyo yami na huwo mchipi yupo uchi hapo hayo ni matanye sio kiuno hicho

hijamwinyi
Автор

😂ivi kwanini wa imbaji wa nyimbo zamaumivu wengi wao ni wenye vituko kupita maelezo sio kama wana hip pop.mrudiane ila kale kademu kwenye video kalibowa kinoma.

lunangabenjamin
Автор

Barnaba yupo kazini anafanya kazi sijaona baya lolote lile, hiyo ni kazi yake.

gerowadamwandika
Автор

Bango mbna haliendan jaman ...mnazingua

AnethWambura
Автор

Kiki za kingese sana, yaani wasanii wa bongo wanatabirika sana

Mkombozi