GARI la WASHAWASHA la POLISI latumika KUZIMA MOTO

preview_player
Показать описание
GARI la WASHAWASHA la POLISI latumika KUZIMA MOTO
Siku Moja baada ya Nyumba kuteketea kwa Moto mkoani Tabora Jeshi la Zima moto limekiri kuwepo kwa uhaba wa vifaa katika mkoa huo na kna kusababisha kutumi gari la jeshi la polisi maarufu washawasha kuzimia moto.

YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Good siyo mbaya lengo kufanikisha kuzima Moto

mickdadymwinyi
Автор

Hapo umejisahau hata ww ni POLICE ila vitengo tofaut pia msjisahau sana.

christinasolomon
Автор

HASA MKISEMA VIFAA HAMNA MNAKAA OFISINI KUFANYA NN MNAACHA KWENDA KUOMBA VIFAA VYA KUFANYIA KAZI

ancomagu