DIAMOND PLATNUMZ AIBUKA NA MAPYA “ALI KAMWE ANAPIGWA SANA ZENGWE NILITAKA MUAJIRI ALI KAMWE WASAFI”

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mungu fundi binadam akifunga mlango huu Allah anafungua hui

kadito-music
Автор

Alikamwe ni mtu mmoja makini sana mwenye maarifa atafika mbali👍👊💪

omarmatata-dcmv
Автор

Kamwe awe makini na binadam maana anaweza akaomba maji na wakamnyima pia 😮

ayoubkhan
Автор

Ally usisikilize ya wanafiki tunakuhitaji saaana Yanga

ZulekhaBaksh-iifk
Автор

Yuko Fir, aun wako spanish wanaroga wako Nigeria wote wachawi

sunyareh
Автор

ally kama kupg kura yanga wsturuhusu tuchangue msemaji uone mpaka utashangaa kumbe hata urahis ningombee tu tunakupenda san bro

sumaiyyaelias
Автор

Ukiona unapigwa sana zengwe kene haya maisha ujue wewe unakitu kikubwa sana

manasekisunga
Автор

Ila hapa ilikua kqpiga pombe mpk kajisahau

Sesakwaukweli
join shbcf.ru