MTOTO WA SHILOLE AFUNGUKA ANAVYOUMIZWA NA STORY ZA MAMA YAKE MTANDAONI
Комментарии
Anajibu kisomi mashallah toto, Mungu akusaidie
FloraAndrew-sq
Hongera sana shishi umepata watoto wenye akili kila mtu anatamani kuzaa watoto wenye akili
BimHamdi
Mashallah Shishi umelea wanao vizuri! Mungu awatunze!
irenembura
Shishi Allah akubarik ktk biashara yako na awalinde watoto wako Amiin
mudasina
Ma Sha Allah ❤❤❤shilole my dear mungu akubariki sana we na watto wako
MsNajma-je
BISMILLAH MASHALAH ❤❤❤❤RAHMA SHILOLE.ALLAH AKUHIFADHI.NA UWAFUNDISHE DINI ATAZIDI KUWA MWEREVU ZAID
AzaAzamhmod
KUNA NAMNA SHILOLE YUKO PROUD NA KUFURAHIA NAMNA AMBAVYO BINTI YAKE ANA RESPOND KWENYE MAONGEZI YAKE NA WANAHABARI, YOU CAN SEE IT FROM HIS EYES.
stn
Mtoto anajielewa yuko smart kichwan hanaga mbwebwee kama wale wengine sijui Salute 🫡
HusnaMTITIKO-wp
Anajielewa mashaallah mzr na anaonekana ana heshima
tamimakhalfanikhani
Beautifully nimempenda anavojibu mashallah❤
catherinenenula
Shishi unajua kulea Mungu akubariki sana. Akupe Maisha marefu ule uone matunda ya kazi yako 🙏🏾
nsajimoses
Woooow 'this is beautiful, may God protect your girl❤❤❤from kenya
MumbuaMuindi
Hongera Shishi, Bint confidence km mama yake ❤❤❤
nyasolugoe
Vijana mate yanawatoka tayari apoo jaman tumuache mtoto asome kanaonekana kabisa hakana zambi nyingi duniani nikikaona naona nuru juu yake acheni mtoto asome huo umama mkwe mtautafta baadae so pretty and brightest girl Mungu akulinde binti ufikie lengo lako 🙏.
SwahiliAmbasador
Mama anajitetua kutafuta pesa lakini nyumbani analea watoto vizuri mungu akujaalie
zaharanakim
Hongera kwako sst shsh kwa kusimamia misingi mizur kwa wanao kwan hauja taka watt wako waje kupitia maisha uliyo yapitia ww 🎉
NoelyTezza-zdro
Mashaalla ❤❤❤
Binti Yuko vizur kiakili
LatifaMkwewa
Dada hongera sana Kwa kulea watoto vizuri sana, kilichobaki kama huyo mwanaume ulie naye mkiachana tena ishi maisha yako watoto wamekua ili wapate heshima Kwa jamii in ushauri tu,
kanankirannko
Mashaallah, dada kumbee shishi unakili sana mmung akulinde na kizazi chake bidhinillah