SIMULIZI MPYA - MUUZA KUKU

preview_player
Показать описание
Kwa majina naitwa sasha mollel ni mtoto wa pili katika familia yenye watoto wawili, wa kwanza akiwa kakangu kenzo na mie wa pili na wa mwisho.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Je wewe msikilizaji unaweza kuoa au kuolewa na Muuza Kuku ( Mtu Asiekuwa Na Elimu Kubwa.? ) 😊

ankojay_
Автор

Mmmmh, mwanzo tu wa simuliz mambo ya 🔥🔥🔥 hivyo ifika katkat watu masingel watakoma ooooh

RahelIbrahim-idli
Автор

Anko j kweli unayajua, 😂😂😂😂eti nakooo joa mwenzzzziiii

RahelIbrahim-idli
Автор

Hizi simuliz zinaamsha mapenz sana, ambao hawajaingia ktk mahusiano wasiingie humu watachanganya mambo

RahelIbrahim-idli
Автор

Sister Lissa na Anko j jaman si kwa raha hizi mnazotupa nazidi kuwapenda ❤❤❤ bure vipenz

Anactersia
Автор

Pole Anko Jay sauti yako leo sauti yako na sikiya una mafua leo ni nzuri sana ❤❤❤

nahimanajo
Автор

Mmasai na mpini wake haya Sasha unayaweza mtoto wew

RahelIbrahim-idli
Автор

Asante anko nimejifunza sana katik simuliz hii❤

JoyceMlowo-qkvs
Автор

Mh mashalah uko vizuri my love 💕 usimuache Wazir

oman
Автор

Leo anko umekua anko kweli nasio mujomba leo umejua kutimiz ahadi jamani ❤️❤️❤️❤️

Lilianarubin
Автор

Nzur Sanna asant ank, ,,,km ananipend jap mfukua vyoo namkubal

ghanimajongo
Автор

Ankojay uko poa Asante kwa simulizi nzuri nakupenda

Fatum
Автор

Ndio mm naweza kwani yy pia ni mtu anaiji kupewa utamu pia na elimu isiwe kigezo Cha kukosa upendo jamani ni maisha tu Ankojay na family yako mungu akuzidishee ❤😂

salmaebrahim
Автор

Eeh ankojey umenifunza kiswahili eti chips vumbi😂😂😂😂😂❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

medinahsamita
Автор

Sijawah kukoment Kwa stor zako 😂😂 Toka nianze kufatilia stor ila dah pungza miguno we kaka wengene hatuna wapenz watulizaaa😂😂😂😂😂😂❤❤

NanahBrown
Автор

Yaan watu wako speed twende Kaz muuza Kuku kafanyaje

elizabethmajaliwa
Автор

Aiseeee nimechelewa but c xn nipeeni likes jamani za muuza kuku much love ankoj ❤❤❤

agnesagnes
Автор

Hiyo ndiyo upendo wa kweli kutoka moyo tana ni Ya mungu shatani halitaka kuharimbu maisha yako kwa ndungu wa damu humbu lako hili hupotea husione mungu tupu mungu akusameh dhambi za laana kutoka kwa ndugu wako

reachelchemtai
Автор

Yaani umetiwa na kutolewa bikira na kaka yako kweli makubwa

ladyt
Автор

Nitacoment after kuwartch, ili nijue kuna nn na muuza kuku❤❤❤

Syviahalex