ZUCHU atamba baada ya kuweka rekodi hii 'Mimi ndie msanii wa kwanza tangu Tanzania ipate uhuru'

preview_player
Показать описание
Please subscribe now on Our YouTube channel To be the first to hear about the latest news and updates on Time.

#middlesimba
#WeAreEverywhere
#zuchu
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Middle simba tunako elekea record label itabaki WCB tu#Big up Zuchu

salimsaid
Автор

Congratulations to Zuchu 👏👏👏 By the way ni ukweli, sio collabo... Hongera sana Zuchu Baby 😍

sophieatieno
Автор

Zuchu mkali sana ❤️congrats congrats 👏 the sky is not the limit baby girl 🇨🇦your fan from Canada 🇨🇦

gagedamoursarusaru
Автор

Give credit where it's due. Congratulations Zuchu 👏👏👏

levis.andere
Автор

The one and only opponet of The African Princess 🤩🔥🔥🔥

official_ixer_
Автор

Kwahiyo zuchu unataka kushindana na diamond 💎 tupe mkono nasema tupe mkono

kasuku
Автор

Minha rainha de tudos os tempo
Zuchureee🔥🇲🇿👀
Like apo +258🇹🇿🌍🦅

franciscobento
Автор

Congratulations to you Zuchu….Mimi ni shabiki wa WCB…Ila tusipatiane mkono.

kabandilwafariala
Автор

The African Beyonce, Queen 👑 Zuchu 🙌🔥👑 Alaf nikutane nq Mbwa anamlinganisha ZUCHU na wavujisha video za ngono NYOKO Nyinyi

biafra
Автор

Simba jike, zuchu zuchuni
Hii ndio maana ya lebo kubwa
Mtengeneze mwanamuziki awe mkubwa na mafanikio makubwa na pesa ndefu
WCB 🔥

vincentmushi
Автор

Amada minha zuchu parabems a voce sinta te feliz por isso hongera sana sana sana, ainda peço mais vida longa por teu professor simba que é diamond platnumz

bacarmacassarantumaneantum
Автор

Sio uongo bro acheni zuchu atambe wcb 4life

exodeissamshimbe
Автор

She is proud but if look in deep is fact no one opposes
Zuchu you're number one artist till now to have a lot of views
But next year you won't because we know how you"ll react
So we will give someone else not you

vuaihukum
Автор

Maoni Yangu ni kua analeta zarau Kwa boss wake mbona atangaze Kwa si Sisi twaona tuna macho yetu wenyewe Izo zarau Kwa mondi

asaa
Автор

Na yeye pamoja na diamond na rayvanny ndio wanaosikilizwa sana Kenya.
Hivi ni kwa kuwa watanzania wengi wapo Kenya?
Show zao wanauza rahisi na kujaza ndio maana mwezi huu mbosso, zuchu, Alikiba, harmo wamealikwa show, Hivi watajaza haraka kwa kuwa watanzania ni wengi Kenya?
Juzi tu unaponda Nigerians wakijaza show ni kama Nigeria pekee ndio wa naingia huko.Swali ni je mziiki wao pia kuuza nchi za nje ni kwasababu wa nigeria pekee ndio wanasikiliza?
Sifu msanii wako bila kuwashusha wengine.
Pure biased analysis which should be ignored!

wekejuniour