KIKOSI CHA UBAYA UBWELA KIMETUA TAYARI KWA KUWAPA FURAHA WANASIMBA/TUKUTANE SIMBA DAY

preview_player
Показать описание
SUBSCRIBE NOW:

About the Official Simba SC YouTube Channel:

Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference

🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mateso sasa basi naombeni like zangu nimekuwa wa kwanza simba ubaya ubwela

Gbabatzone
Автор

Kila heri Simba Kila la heli tanzania in the beautiful country 🎉

Jumathomas-sr
Автор

Ubaya ubwela ❤❤❤❤❤❤❤❤❤simba nguvu moja

MagretGunda-lydj
Автор

❤❤❤❤kinacho takiwa tu ni imani na timu yetu tu msitafute maneno mengi mungu ibariki club yangu ya simba sports club tu manyanyaso kwa sasa basi tena, halafu mjue kuwa kwa hapa Tanzania kwa sasa mpira umekuwa ndio njia ya siasa tu itabdi tuwe watulivu kwa sababu tu mchenzo umekuwa ni upande wa siasa kwa sasa

YunusiKHatibu
Автор

Nilichokiona Simba wanajielewa sana hasa Mashabiki maana ingekuwa utopolo hapo kungechafuka ni washamba sana

thehustlerafrica
Автор

Jaman tuwasomee visomo wachezaji wetu mana Ni shidaaaah!!!!

HalimaMaulidi-svle
Автор

Tukumbuke kuwaombea natamani wangepelekwa clabuni wakasomewa Dua na maombi ya nguvu

lutiak
Автор

Nyie viongozi pamoja na mashabiki mbumbumbu mnaoshangilia mabonanza badala ya kufuatilia mstakabali wa timu Israh Mwenda yuko wapi? Na kwa nini hayuko na timu? Nani Bora kati ya Israh Mwenda na duchu na kapombe. Yaani unamtelekeza Mwenda unamkumbatia duchu na kapombe, kweli ujinga ni mzigo.

jumamangombe
Автор

Ushauri wangu naipenda time yangu.lakini tumepitia nyakati ngumu sa a ndani ya miaka mitatu.basi tunaomba time ilindwe jamani .hatutaki chawa kwenye timu yetu please viongozi muwe makini kula mechi kwetu iwe nifainali.

MarthaBura-orfe
Автор

Viongoz nawechezaji wajue sisi kilamechi nifainari nakushinda kilamechi

ShukruMakoko
Автор

Mashabiki hawajaja kuwapokea wachezaji wao

WendeMposola
Автор

Tunaimani nanyi mjitume kilamwchi tunataka matokeo sio kingine

ShukruMakoko
Автор

Hata manara iliitukana yanga lakini utopolo mmempokea

AshaIbrahim-obnz
Автор

probation time, den we will met again on progress reports

kingsniper
Автор

Kama wanatutafuta Muhali.Wajiandae kumlinda Dullah.Vinginveyo watatuona katika uhalisia wetu.Kijana ametutusi hadharani Kisha apande Jukwaa letu na alipwe?

amanisalum
Автор

Wasani hawanatimu mbele yapesa maana kwanza wanafata upepo

ShukruMakoko
Автор

hivi kwani jama nani uwa anawaruhusu watu na kuleta msongamano apo mara sijui makomando mara watupokea wachezaji inaboa wakafanye majukumu yao waache uchawa kwenye timu kuwe kuna maafisa wa timu kwa ajiri ya ulinzi na wanahabari maarumu wakuzungumza na wanahabari na wachezaji wasibuguziwe

jumanneally
Автор

* nyie kama vile na mwona mzee mpili amekamatwa na magoma akirusha unga unga uwanja wa ndege magoma nisimba mfumo umemkubar*

shadrackjuliuskaboya
Автор

Yani viongozi wa Simba Bado vichwa maji Yani pamoja na dullah makabila kututukana kote kule lakini vimemleta Simba day pamoja na chino kua na mapenz na yanga lakini Bado nae kaletwa Simba day mna alibu Radha acheni ushamba basi angalau aje chino ila sio dullah makabila uo ni ufala si Tunataka watu wenye mapenzi na team Bora aje harmolapa 😭 kuliko kuleta watu wasio na maana kwetu wanatutukana Bado tuna waalika

ProsperSantos
Автор

Nyie viongozi pamoja na mashabiki mbumbumbu mnaoshangilia mabonanza badala ya kufuatilia mstakabali wa timu Israh Mwenda yuko wapi? Na kwa nini hayuko na timu? Nani Bora kati ya Israh Mwenda na duchu na kapombe. Yaani unamtelekeza Mwenda unamkumbatia duchu na kapombe, kweli ujinga ni mzigo.

jumamangombe