Fuse: X Files: EU hali ni mbaya, wamefyata na kurudi kwa Mrusi bila kupenda!

preview_player
Показать описание
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Pole Brothers ALLAH AKUJALIE AFYA NJEEMA

omarmohammed
Автор

Pole sana Bro, tunafurahi sana kusikia sauti yako tena hewani

adeodatuskahyoza
Автор

Pole sana kaka Allah akufanyie wepesi 😊

suleimankhamis
Автор

@🇬🇧🇬🇧🇬🇧

Brilliant 👏 👏 DJ Sma

Pole kwa kuumwa.Wishing you Tahfif In Shaa Allah

nz
Автор

Pole sana brother huna baya kwetu na tunaona wajib wako wa kutuhabarisha mungu akulipe kheri

fanaualmazrui
Автор

Big Up...👊 Ila asietaka kuamini usitumie nguvu kubwa kuwaelezea watakuelewa tu.. jitihada yako tunaithamini namchango wako katika uchambuzi..🇬🇧

sultanmaxmed
Автор

Nakubar mkuu kwakuwa unaenda dp sana, , mungu akulinde unajuwa vingi kwa usahihi

yusufwazili
Автор

Pamoja sana brother DJ Sma, Mimi nitawatafuta hapo kweny fuse discussion group munielekeze how to support nijiunge. Big love from south Africa

ndayiragijejules
Автор

Niliingoja sanaa fuse x.. hongera sana dj smaa

muhammadmbaraka
Автор

Mimi naskiliza kutoka westen cape 🇿🇦🇨🇩

abdullahmapesa
Автор

Hiyo safi sana naisubiria kwahamu hiyo story

jimmyjohnson
Автор

Huyu ndio DJ Smaa255 una IQ kubwa sana

AhmedAhmed-zmt
Автор

Wow! I was missing you Sma God bless you

nkeshimanayuda
Автор

Ulipotea sana Dj Sma but pole sana congratulations

jongosalehe
Автор

kwakweli allah akujalie kuzidi kupekuwa zaidi ukokwenye history utafahamu chanza chavita ya palestina kwakina

NyemboShababimakangira
Автор

Pole sana brother Allah akujalie afya njema kwako...
Samahani DJ Sma nimelipia kuinganishwaa kwenye Group ila mpka sijaungwa

ryasasanga
Автор

Dj Smaa Allah akupe afya njema na nguvu mpya uendelee kutulisha madini nakupata vyema nikiwa Jiji la miamba Mwanza Mwanza

kingmtetezi
Автор

D j smaa tup pamoja na alhamdulilah mungu akupe afya ya kutosha ili tufaidike na taakuma yako hassa vita ya urusi na inch za magharib. Jina langu msomali nipo mwanza mjin mtaa wa uhuru.

MsomaliOmary
Автор

Now kwa saa za hapa Europe ni saa 05:27 asubuhi najiandaa kuingia job lakini bila kusahau nawapata vizuri SnS hapa nilipo kutoka Potsdam Germany 🇩🇪 SnS ndio my breakfast every day 💪🏾 kwa sisi waswahili tunaita kifungua kinywa oky but thnx bro kipindi kizuri sana ishaallh Allh awape nguvu mzidi kutupa habari nzuri.👏🏾

pujimontanapachino
Автор

Tanzania bila sns vijana tungekua manyoro sana mnatutengeneza kisaikologia mnatutengeneza kijasusi yani mpaka mimi nimelemaa yani naweza kupelekwa jeshini nikakuta kila mbinu nishaipitia kumbe

AFRICA_D