MAHAKAMANI: Wema Sepetu tena Kisutu na Mama yake AUG 1 2017

preview_player
Показать описание
Leo August 1/2017 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha kesi ya dawa za kulevya inayomkabili Wema Sepetu hadi August 4/2017 kwa ajili ya kutoa uamuzi wa kupokea ama kutopokea vielelezo vya ushahidi wa sampuli ya mkojo na bangi.

Hatua hiyo inatokana na wakili wa Wema na wenzake, Peter Kibatala kumuomba Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba kutopokea vielelezo vya ushahidi huo kutoka kwa Mkemia wa Ofisi ya Mkemia Mkuu DSM, Elias Malima.

Katika ushahidi wake, Malima ameeleza February 6/2017 alipokea sampuli ya majani ya bangi na February 8/2017 alipokea tena sampuli ya mkojo wa Wema.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

inshaallah yatakwisha wema kumbuka kuwa mtihani ni sehemu ya maisha iko cku yatakwisha pole dada

maryamsalim
Автор

Pole sana dear wangu nakuombea wakati wote haya mambo ya unyanyasaji yaishe ili uendeleze kipaji chako zaidi na zaidi. Amiin.👋

jasminasha
Автор

Wema nakupenda sana sana achana na siasa dear hayo ya moyoni unayo mwachie Allah atakuondolea kinacho kukera usiyaseme popote dear.rudi tu kwenye kipaji chako .

zuweinasalum
Автор

😰😰😰😰😨😨😨😨jipe moyo mungu atakusaidia nimetoa chozi juu yako siku hii ya leo ila amtegemea Mungu hatoshindwa

patriciamassawe
Автор

Hayo ya moyoni usiyatoe dada wa watu wanaokushauri watakuponza all eyes on u watu wanangoja useme tu uswekwe lupango, we mama wema hivi huchoki kwenda mahakamani embu msihi mwanao aachane haya mambo jamani

rubbymusa
Автор

ukweli humuweka mtu huru asiseme kisa nn!?
kila mtu na maisha yake funguka kamandaaa✌✌
hawana la maana toka walivyoanza kusogeza mbele tarehe loool

mtotowasongwe
Автор

achana na siasa wema mwombe MUNGU tu akusaidie kesi yako iishe salama na uludi kazini kwako hao wenzio watakuponza

arqamhaiadar
Автор

kweli ukiwa mkweli unakua huru tid mwenzio roho baridii nawote waliojikubali lkn ww umeona bange naunga nikitu chakushikamana nacho

jenyyusuph
Автор

wema ukifanya makosa utakamatwaTu kuwa mpole miaka hii kama uzury woote wazuryTu

Msonjo
Автор

Ongea kale kasauti kako tuskie tena maana kufake maisha hamjambo

mbarakaathuman
Автор

Yani i wish upate watu wa kukupa ushauri mumy utapotea, utaishia segerea mpendwa, kesi yako ikiisha kaambali kabisa na mambo ya siasa, yako ya moyoni kayaongeleee bafuni, kwa miaka hii siasa haikufai kabisa, yale mambo ya kuandika snapchat mambo ya siasa chonde mwana mama, kuwa na best lawyers sio issue muone tundu lissu alivyosota rumande, wema rudi kwenye filamu haya mengine ya siasa waachie kina lissu, tunakuombea kesi yako ya awali iiishe vyema

rubbymusa
Автор

Kumbe wema sio munzuli mbona kwenye vipicha tubamuoana weupe yanii kama mzungu yaniii hapo napo muona cheusi utadhani mukurina jameni nimeamini kua gigy money aricho kisema nikweri wema sio munzuli

mercije
join shbcf.ru