UCHEBE KAFUNGUKA KUHUSU SHILOLE KULEWA 'Nimembadilisha Shilole hakuwa hivi'

preview_player
Показать описание
Mume wa Msanii Shilole ambaye alifunga naye ndoa mwishoni mwa mwaka 2017, Uchebe amezungumza kwenye Exclusive interview na kuzungumza jinsi alivyombadilisha Shilole haswa kwenye swala la pombe na akasisitiza kuwa watu wapuuzie Account ya Instagram inayotumia jina la Official Uchebe siyo ya kwake.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kijana mstaarabu MashaAllah, Allah hawaongoze katika ndoa yenu daima muelewane

saumuhassan
Автор

Uchebe 1, hivo nakupenda sana umenifanya niwe fan wa shilole mwanzo sikua namdhamini, mungu awape kila la kheri kwenye ndoa yenu.mnanipa mfano mwema sana kuishi katika ndoa.shilole umebarikiwa na Mme love you guy's Allah azidi kutenda mema kati yenu.

celinemakokha
Автор

Uchebe uko vzr, Allah akuongoze ktk mstari huohuo, uko mstarabu unaongea point, sura nzuri moyo safi, Shenzi mange

emmanuelosmond
Автор

Huyu kaka ni mwanaume kamili yaani umeaongea ka wanaume mia na...Shilole ukapata mtu anajua maisha nn ...l like this ...wacha Mungu aendelee kuwasimamia ndoa yenu..

queendama
Автор

Unafungu lako kwa mungu kumtowa kwenye maovu na kumuweka njia njema mungu akutilieni baraka kwenye ndowa

mwatumsaidi
Автор

Mashallah uchebe upo sawa mwenyezmung akuzidshie umuelimish dadaetu shishi mpk aache mziki tuangalien akhera tusiangalie dunia tu huo ndo uzur wa kupata mume mwenye dini unajielewa pongez

ayshahams
Автор

Hongera sana uchebe MUNGU akufanyie wepesi uweze kumbadilisha shishi

zamzamhamisi
Автор

Màsha Allah kaka ana akili huyu mwenyezi mungu awafikishe mbali insha Allah

faidhanata
Автор

Namshukuru MUNGU kuona shilole na jack wameolewa. Bado wema MUNGU mpatie na wema,

deewallance
Автор

Mwanaume na nusu shishi una bahati uchebe ni HEAVEN SENT

zamzamhamisi
Автор

Nakupendea hivyo uchebe mungu awaongoze Inshaallah

richbird.
Автор

Sema mshikaji tembo, ngumi jiwe....!!!!safi sana achana na mambo ya mitandao ishi na mkeo inshaasllah.

mohamediyusuph
Автор

kaka uko sawa sana maongezi mazuri sana, wampenda sana mkeo pongezi sana na mungu awajalie.

christinearotso
Автор

Masha Allah kijan mstarab shish hap umepata

zainabmaulidi
Автор

M/mungu awafanye kudumu katika ndoa yenu

salumunadulart
Автор

hongera uchebe hakika ww ni mume unaejielewa

edusarah
Автор

mashaallah mashaallah kaka yupo safi sana wengine igeni sio kilakitu mna tangazatu

mahmoudalameri
Автор

Uchebe you very competent haf upo descent kwenye media..big up bro

jensennashon
Автор

MashaaAllah uchembe umwingi wa hekma mungu akujalie kheri

fathmajivanji
Автор

Inshaallah Mungu akulinde wewe na mkeo pia azidi kukusikiliza abadilike zaidi

yyhg