Willy Paul x Jovial LaLaLa ( Official Video )

preview_player
Показать описание
#WillyPaul #saldidointernational #lalala
artists : Willy Paul and Jovial
writer : Willy Paul
Arranger : Willy Paul
beat maker : Teddy b
mixing and Mastering : Teddy b
Label :Saldido international ltd

Lyrics

Naimba toka motema ooh baby usije nitema ×2

Verse

Baby I never thought they'd come a day ninge fall in love like this, I never thought they'd come a day ninge fall in love like this... ×2

Walahi this is love this is love this is love that I'm feeling, this is love this is love this is love that I'm feeling...

Baby niko sure nataka kuwa na wewe only you, niko sure nataka kuishi na wewe only you uuh...

Pre- chorus...

Imeandikwa mtoto anazaliwa na mumama na mubaba×2

Akishakua inabidi aondeke, kwa mumama na mubaba ×2

Chorus...

Ooh baby na nakupenda, na na nakutaka ×2 and I can't do without you nakupenda na na nakuta, and I can't live without you nakupenda na na nakutaka. Ooh lala lalalalala, lalalalala Ooh lala lalalalala lalalalala...

Verse...

Jovi ona polisi anavolia mpaka mufungwa anamubembeleza. Kumbe mapenzi haitambui hata wenyu bunduki, inapepeta tu kama risasi. Kama water fall mapenzi yana tiririka mwilini mwangu, mapenzi ni ya wawili... nimalize nibaki kiwili wili.

Nimefall in love... nimefall in love, fall in love... nimefall in love×2

Pre- chorus...

Imeandikwa mtoto anazaliwa na mumama na mubaba×2

Akishakua inabidi aondeke, kwa mumama na mubaba ×2

Chorus...

Ooh baby na nakupenda, na na nakutaka ×2 and I can't do without you nakupenda na na nakuta, and I can't live without you nakupenda na na nakutaka. Ooh lala lalalalala, lalalalala Ooh lala lalalalala lalalalala...
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

I always supported pozze, , , bahati Hana say apa🤣Fans wa pozze au sio

lbmaasai
Автор

Never doubted this guy Pozze🔥 Jovial naye sauti kapewa ya kutoa nyoka Vietnam mpaka Kiserian...Aah jamaaani we approve this banger huku side za Thugunui✅✅✅

commentator
Автор

Pozze is a beast✅ Jovial the baddest K!lled it🔥🔥🔥Thank you for this masterpiece 🔥💯

Alotmoreiscoming
Автор

Tufike 1 million subscribers bana jo💯🔥

enockmutwiri
Автор

Ndume willy paul na jike jovial mko type moja sasa kitandanda Italia 🔥🔥🔥🔥

Africadigitalchannel
Автор

Let's appreciate it before it goes viral and become world wide 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

mashabikiwaharmonize
Автор

I'm here to support our own king Pozee. Wapi likes za Jovial kwa sauti tamu Jamani Kenya 🇰🇪

denwaizkenya
Автор

This is a beautiful love song. I’m leaving my comment here so that when someone likes it I’ll come back to listen to this big banger🔥🔥🔥

kushykhery
Автор

Ni kali sana imeweza tena sana I love it 💕

marionvalma
Автор

Pozzee is an animal! Jovial vocals tuu! Anthem na sio chochaa🔥🔥🔥

BTGNews
Автор

Waiting for it brother this big move my g

jmargos
Автор

Willy tumefikisha 1m na bado twasonga ...tupige sherehe

stephenanyanda
Автор

Song iko fine mbaya, congrats Pozeeh ft Jovial.

fjhi
Автор

THE BLUE SWAG IS LIIIT, mnakaa poa mpaka naskia Waah

KaleKachafu
Автор

MUST BE A BIG JAM...POZEE EVER WORKS ON THE BEST...

PresenterRonnie
Автор

Wow!!!!Moto kuliko zote, pozze anazidi kuwa mnyama walaahi, mambo mbaya haki

elvisigari
Автор

How many are back after the video was taken away, , alafu si mnipee likes za Pozee juu ya kufikisha 1million subscribers 👇👇

dennoh_phennal
Автор

Kenyans don't know how much Tanzanians love you ☺️☺️🇹🇿💓🇰🇪

abubakarimsere
Автор

This song is fine, however is listening 2024, wapi likes

WanyamaDickson-ec
Автор

On behalf of 1M Kenyans am here to confirm this is a masterpiece 🔥🔥🔥 keep them coming 🔥🔥📸

ShawnLexon