Jinsi ya kutengeneza passportsize kwa kutumia Adobe Photoshop

preview_player
Показать описание
Katika video hii nimekuelezea jinsi ya kutengeneza passport kwa kutumiaAdobe Photoshop. Kuedit passport size kwa kutumia adobe Photoshop ni njia iliokuwa bora zaidi kuliko njia nyenginezo ka kawaida za kupiga picha na kuprint tu
Kumbuka kushare/like video hii.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kazi nzuri Bro. Karibuni pia mtumie app hii imetengenezwa kusudi kwa ajili ya kutengeneza passport size ina size tofauti tofauti unachagua tu inakupritia bila kuhitaji kua na elimu ya juu ya computer. Karibu sana

regmeltechnology
Автор

UMEHARIBU SANA KUIFANYA VIDEO KUWA KIMYA, SIO MWALIMU MZURI

msaznz
Автор

Nichek whatsap kaka mm nina shda nayo sana 774/ 368 196

kombosudyvideolibrary