Bibi kikongwe amtongoza clam vevo

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Bibi ana full kipaji inamaana ujuzi hauzeeki acha maisha yaendeleee ubarikiwe bibi kwa kipaji

mkanulamajid
Автор

Hensboy mtanashati!Bibi mdedly kijana unalo😂😂😂😂😂

lesliesolomon
Автор

Kenyans mumetulia nikama hamjasikia hanesboy kumaanisha handsome boy 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 tena getho ni by force 😂😂😂😂😂😂

harrietajiambo
Автор

Msijifanye hamjasikia hio hansboy, , meaning handsome boy😂😂😂

nicholasgikunda
Автор

Clam akiona mambo yamechemka anajifanya kuwa taila😂😂😂😂😂

Amina-dv
Автор

Ukikataa Mimi nakuroga😂😂 unafikiri hapa nachekesha au😂😂 hensi boy buana 😂😂😂

ifmknowledgepower
Автор

Yaani mashabiki wa Man U wameumbwa kuteseka na kuonewa tu 😂😂😂

ericklibaba
Автор

Mi nikijana maisha yamenipiga😂😂😂😂😂geto😂

cynthiasirali
Автор

Eti ukikataa nitakuroga twende Ghetto sasa nimejua vile nitakuwa nikiwakatia asante sana shoga

PatriciaSchmidt-cehm
Автор

Huyu vevo badala andelee kitoa mwendelezo wetu anacheza na wazee huyu punye kweli

SeifuNjenge
Автор

Huu mchana shati hansboy nikikuona karoho ti ti ti ti ti na ndondondo 😂😂wahala

marthenzeyimana
Автор

Bibi ushazeeka nenda kamjue mungu umli umeenda tena😊

HoseaRsm
Автор

Huyu bibi atafute meneja jmn ana kipaji asijekuwa anadhurumiwa

RehemaSaid-wwmm
Автор

😂😂😂😂😂 makubwa haya 🤣🤣🤣 we koma unataka kuua kijana wetu

EvalineKelly
Автор

Ongoza ghetto VEVO chapati maharage kama zezeta kutembea nayo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

DanielMenza-nt
Автор

Ukikata nakuroga aya twende geto 😂😂😂😂😂

BlancoYoussouf
Автор

Safi kabisa bibi tulia ngombe hazeeki maini usije ukatongoza wahuni utakimbizwa mhimbili watakupelekea moto jichanganye uje uone

mwitajoseph
Автор

Hahhaahha😅😅 anaogopa kurogwa lazm get uwend

AishaAisha-tzyx
Автор

Tunataka kazi mpya na huyu Dem wako sio comedy tuu

AbubakarMangale-rm
Автор

Bibi naomba mikoba popote ulipo huu uwezo wa kutongoza nahitaji unishike kichwa😂😂😂😂😂😂

UmySele