Simba kushtakiwa FIFA na Kiyovu, Kotei agoma kuondoka Simba

preview_player
Показать описание
timu ya kiyovu imekusudia kuishtaki simba kwa kuongea na kiungo wao wakati akiwa na mkataba, wamekusudia kuiburuza Simba hadi fifa ili wapate haki yao. Kiungo wa simba James kotei amesema hana mpango wa kuondoka katika timu hiyo Tofuati na inavyovumishwa na amewataka mashabiki kiondoa hofu juu yake
Рекомендации по теме