January Makamba Bei ya Mafuta Imepanda Mimi Nimeongea hadi na waziri wa India Tunafanyeje Kutatuwa

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

ameongea na nani vile🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙉🙉🙊🙊 Tanzania nchi yangu

braystuskibassa
Автор

Msituzingue, kanunueni mafuta Urusi baada ya kususiwa na ulaya mafuta yao wanauza bei rahisi. Ruhusu watu binafsi wakanunue achana na bulk procurement

ronaldmandari
Автор

Magufuli tutakukumbuka sana waongo kama hawa ulikuwa unawafukuza bila woga asa kuleana huku kwenye lichama la zamani tunao umia ni raia wa chini kabisa

odenlwila
Автор

Suppliers mafuta Riziwani anakuchora tuu.
Inchi itapigiwa hapo hapo kwenye vita😏😏😏🙆‍♂️🙆‍♂️

thieryniyonkuru
Автор

Siyo kweli makamba aache kutudanganya, kama mafuta yamepanda huku Kuna mfumuko wa kujenga shell Kila kona, hizo shell mnazozijenga mtakuwa mnauza maji au? Nyinyi mtapata wapi mafuta kama siyo kutuminya sisi wananchi wa hali ya chini, wakati huo nyinyi mnakaa kwenye magari ya viyoyozi, Kila siku magari yenu yanajazwa full tank hamjui hata gharama ya mafuta, tunataka na nyinyi Ile Sheria ya kuwekewa mafuta full tank iondolewe muwe mnanunua kwa hela zenu tuone kama mtaongea kirahisirahisi hivyo

elizaluchagula
Автор

Raisi ndiyo chanzo cha shida zote hizi, kwa kuwakumbatia majambazi, binafsi simuewi kabisa

kahangeraphael
Автор

FIKIRIA KABLA UJASEMA WATANZANIA SIO WAKINGA WANAJUA
UNA LA KUONGEA

saidpazi
Автор

Hiyo ndo siasa jamani wazungu wamesusa mafuta ya Urusi cc inakuwaje nasi kususa kama sio kuwa vibaraka wa makabulu wewe unatafita pesa kwa nguvu ulikaa bach miaka 5 unahasila na asali

geofreyruta
Автор

Huyu huyu alisema tunayo mafuta ya kutosha hapo hapo bungeni aliongea simpendi huyu waziri mxueeee fisadi

salmaathuman
Автор

Vile tu kwa kuwa waziri wa mafuta ni " Mtoto'" wa mama, vinginevyo January huna sifa ya kuongoza wizara yeyote! Wakati wowote hujaweza kuangalia madhara ya ongezeko kubwa la Bei ya mafuta katika maisha ya watu wenye kipato duni. January kazaliwa na kukulia kwenye geti Kali!

simonkabuka
Автор

Nyie wabinafusi tangu magufuli afariki Mambo mengi yamebadilika ndomaana aliwakataa

edisondauson
Автор

Na umeme kukatika mara kwa mara na lenyewe ni vita

edisondauson
Автор

India wenyewe wanaagiza toka Urusi. Kwanini tusiagize toka Urusi ?

kilalaurio
Автор

Kweli afirica tutaishi kwakubahatisha miaka 60 hatuna uhakika wakupata mafuta du

johnmalambo
Автор

Mnachakata nini waache wakanunue washinanishwe na hawo wenu

ronaldmandari
Автор

hivi mzalishalishaji wa kwanza wa mafuta Duniani ni Marekani ?

jacksonletema
Автор

Lione domo na huyo wa nyuma yake yaani kichefuchefu

florameza
Автор

Rais wetu hao mawaziri unawakumbatia na kuwapa wizara nyeti ikiwemo ya fedha watazidi kutukandamiza tambua Kuna kufa na utakuja kusemwa kwa kung'ang'ania mawaziri wanaotuhujumu

rashidally
Автор

Mama kwanini unawakumbatia hawa mawaziri ? Aibu ni kwako maana unajua jinsi hawa mawaziri wengine wanavyotuzingua sisi raia na nchi kwa jumla hebu mama yetu mlezi fuatilia kwa kina kwanini mwenzako aliwatumbua?

rashidally
Автор

Ponguzeni kodi leo kodi zaidi ya 5 za kodi

masoudalriyamy