TUZO ZA MUZIKI TANZANIA - Wanaowania Kipengele cha MSANII bora wa Kiume watajwa, Tazama tukio hili

preview_player
Показать описание
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mario anasitaili kabisa kwamda refu amenyimwa tuzo nanyimbo nikali unasikiliza Hadi unalia ❤❤❤

BenjaSamson
Автор

Hapana sns ina stahiri hii na mwamba sky mwandishi mwenye yuko huru na kuariri habari kwa kubaransi mizani recpect sky

PatrickJulius-uyyb
Автор

V VAN BOY DAH HAYUPO BORA BASI MNGENIWEKEA JUX ALIKUA NA HIT YA ENJOY

Fxgenie
Автор

Naanza na Harmonize hapo kashika buku buku zake 5 mpyaaa😂😂😂
Alafu narudi Kwa mtangazaji nasikia tu ahaaa _eee _ naaa- kwaaa _yaaa_sooo

cheiknamouna
Автор

Huyo rayvan hanashukurani nahizo tuzo aliokua anazipata kila siku

BenjaSamson
Автор

Kumshindanisha diamond platnumz na hawa watoto, ni kumkosea heshima,

kambona
Автор

Kama Serikali inasapoti Harmonize kuharibu kazi za Diamond Platnumz youtube na uchawi...Je nani ataamini hizi Tuzo????😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

SifaEmma
Автор

Kwanza kabisa huyo Dada mtangazaji anazingua!!! Kiswanglish ndiyo lugha anayotumia. Hivi amekosekana kabisa mtu anayezungumza kiswahili fasaha? Hawa washamba wenye kasumba ya kizungu muwaache na ushamba wao!!! Tunaharibu lugha yetu ya Kiswahili!

lilyjones
Автор

Izo tunzo km mond achukuwi mm nafuta YouTube

MariamIbrahim-hp
Автор

Mtu anaongea lugha yake anayoifahamu kwa %100 sasa hizo aaah aaah za nini😂

rosemahenge