Nedy Music - Yeye (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Watch now and share Official Video 'YEYE' by Nedy Music from Tanzania. The music video was shot in Tanzania by the super talented director Yuzzo. The song was produced by Aloneym from Tanzania. Enjoy good music from your Fine Boy, Nedy Music.

Sms SKIZA 7302336 to 811
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kama umelielewa Goma hili like hapa chini

khalidzakaria
Автор

Nedy broo respect maan noma san❤️❤️❤️❤️❤️

linahclassic
Автор

Bonge la ngoma Mazeee🔥🔥🔥🔥
Sipat pch km Mond angehusika humu.
Kwa mtizamo wangu ungetoboa international kwa ngoma hii tu.

saleheinnocent
Автор

hilo li mdundo sasa ndo umeniacha hoyiiii yaaan duuuh produces katisha sana salute🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👊👊

cuteprincess
Автор

Nakubal San broo napenda San nyimbo hiii respect 👌👌👌👌

linahclassic
Автор

Nabaki nalirudia Mara mbilimbili fine boe umeua umu

mullerboy
Автор

Natokea uko wasafi rfresh ✌✌✌
Moto umewaaashaaa

nazarethmwamba
Автор

Ni kama namsikia KrizBeatz umu, au baasi...nice joint😎

yessekindi
Автор

Mistari mikali 🎵🔥
Melody hatari 🎼🎶
Video naikubali📹💯💯
Beat ya kiwango cha juu ya dari 🎧🎵🎧

mohammedbakari
Автор

NEDY MUSIC NASHUKURU UMEAMUA KURUDI MJINI KAKA SALA ZANGU NA DUA JUU YAKO KAZI NI KAZI🚀 NM💫

TheRammymusic
Автор

Mbona vionjo kama vya simba au masikio yangu

kwisa
Автор

Unitourism good music ever big time bro Zanzibar tunakupend

ibrahimcapable
Автор

We kenyans always think sometime nedy belong here 💕 good music buddy 😎😍

raviancitygeng
Автор

Mpemba mmojaa pamoja sana brother 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

hamadaly