filmov
tv
Vedastus & Mathias Walichupa - Bado Nahema [Official Music Video]

Показать описание
The Official Music Video for 'Bado Nahema' performed by Mathias Walichupa and Vedastus.
Available on all Digital platforms:
Subscribe to Mathias Walichupa's YouTube Channel
Follow Mathias Walichupa on socials:
Follow Vedastus on socials::
For Bookings: WhatsApp/Call +255757255858
_________
Lyrics:
Aiyee iyeeiyee
iyeeee
ouuuh yeiyee
Nimejifunza somo, kwamba wewe BWANA
Wautambua mwisho, kabla ya mwanzo
We ni mchakato wako, kumtoa mwana
Kutoka mavumbini, kumketisha na wakuu
Haukuruhusu machozi yanitoke, yanitoke bure
Hukuruhusu huzuni idumu ili niumie
Haukuruhusu mapito, yanigharikishe
Umenipa mwisho BABA, wenye ushuhuda aa
Nashindwa jinsi namna ya kusema
Nashukuru bado nahema
Sikustahili umenitendea mema
Nashukuru kwa yako mema
Hivi nikupa kitu gani BABA
Lala lalala lala (mpaka ninaishi leo ni neema yako tu)
Lala lalala lala (maana si ujanja wala akili zangu)
Lala lalala lala (asante BABA pokea sifa)
Lala lalala lala
Ouuyeee yeyeyee
ouyeyeee
Shukurani zatiririka ndani ya Moyo
Napotazama haya, uliyonitendea
Ambayo kwa akili za Kibindamu mi nisingeweza
This kind of blessings, I never seen before yeee
Ninashukuru hukuniacha BWANA
Hukuniacha BWANA
Umenipigania mwanao oo
Tena nashukuru hukuniacha BWANA
Hukuniacha BWANA
Umenivusha na mengi mwanao oo
Nashindwa jinsi namna ya kusema
Nashukuru bado nahema
Sikustahili umenitendea mema
Nashukuru kwa yako mema
Kweli hakuna kama Wewe
Lala lalala lala (matendo yako ya ajabu uuh)
Lala lalala lala (eh hayaelezekii iiih)
Lala lalala lala (asante BWANA aaah)
Lala lalala lala (ooh lala lalaa yeee)
Ooyeoyeoyee
#mathiaswalichupa #vedastus #gospel
Copyright ©2024 Mathias Walichupa | Vedastus. All rights reserved
Available on all Digital platforms:
Subscribe to Mathias Walichupa's YouTube Channel
Follow Mathias Walichupa on socials:
Follow Vedastus on socials::
For Bookings: WhatsApp/Call +255757255858
_________
Lyrics:
Aiyee iyeeiyee
iyeeee
ouuuh yeiyee
Nimejifunza somo, kwamba wewe BWANA
Wautambua mwisho, kabla ya mwanzo
We ni mchakato wako, kumtoa mwana
Kutoka mavumbini, kumketisha na wakuu
Haukuruhusu machozi yanitoke, yanitoke bure
Hukuruhusu huzuni idumu ili niumie
Haukuruhusu mapito, yanigharikishe
Umenipa mwisho BABA, wenye ushuhuda aa
Nashindwa jinsi namna ya kusema
Nashukuru bado nahema
Sikustahili umenitendea mema
Nashukuru kwa yako mema
Hivi nikupa kitu gani BABA
Lala lalala lala (mpaka ninaishi leo ni neema yako tu)
Lala lalala lala (maana si ujanja wala akili zangu)
Lala lalala lala (asante BABA pokea sifa)
Lala lalala lala
Ouuyeee yeyeyee
ouyeyeee
Shukurani zatiririka ndani ya Moyo
Napotazama haya, uliyonitendea
Ambayo kwa akili za Kibindamu mi nisingeweza
This kind of blessings, I never seen before yeee
Ninashukuru hukuniacha BWANA
Hukuniacha BWANA
Umenipigania mwanao oo
Tena nashukuru hukuniacha BWANA
Hukuniacha BWANA
Umenivusha na mengi mwanao oo
Nashindwa jinsi namna ya kusema
Nashukuru bado nahema
Sikustahili umenitendea mema
Nashukuru kwa yako mema
Kweli hakuna kama Wewe
Lala lalala lala (matendo yako ya ajabu uuh)
Lala lalala lala (eh hayaelezekii iiih)
Lala lalala lala (asante BWANA aaah)
Lala lalala lala (ooh lala lalaa yeee)
Ooyeoyeoyee
#mathiaswalichupa #vedastus #gospel
Copyright ©2024 Mathias Walichupa | Vedastus. All rights reserved
Комментарии