VIDEO: FAMILIA YA MAGUFULI YAFUNGUKA UPOTOSHAJI KIFO CHA HAYATI MAGUFULI 'UKWELI UTAJULIKANA'

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

nilijuwa tu kwa mambo yanayoendela kwa sasa tanzania magufuli watakuwa walimuuwa tu

franktangeki
Автор

Hapa msimungunye mungunye maneno wekeni wazi Magufuli kauawa na watanzania wenzetu kwa maslai ya wazungu😢😢😢😢😢😢😢 R I P ..J P M

deniccgabriel
Автор

Kama ukweli hautatoka Tanzania utatoka Malawi yaaan umenisisimua sana kaulii😢😢😢

DanMasoko
Автор

Nitakukumbuka daima JPM Mzalendo wa kweli ulikuwa Mwalimu kweli

adelaudarutagwela
Автор

R.I.P Angle Magufuli, bado Tanzania na Afrika tunakukumbuka sana.

VenustoMsombe
Автор

RIP JPM wetu, Jembe, Kamanda, Jasiri, Shujaa na mpenda haki, Mwamba hukuogopa kupambania Utajiri wa nchi hii, Mtetezi wa wanyonge, uliyechukizwa na uonevu siku zote ni kitu kisichowezekana daima

maswamills
Автор

Jamani tunao wasomi wengi hapa wanaojua lugha basi wakitafasiri ili watu wengi waweze kukisoma hicho kitabu. Mimi nakitaka mkisambaze sehemu nyingine nyingi ili tukipate. Sasa hivi in that English version na baadae kama atatokea mtafasili.
Hongera sana mzalendo kutoka Malawi. Haya ndiyo tunataka kuliko watu kuangalia Ulaya, Uwarabuni lakini hata Inchi ya Tanzania iliyokuwezesha kufika hapo ulipo unapiga teke unatafuta jinsi ya kutudharau. Kama mna serikali ya wezi nani wakuulizwa? Anyway anza kuthamini Africa kwa vitendo kama huyu mwenzetu alivyo fanya.

christinenyagiro
Автор

R.I.P J PM, Africa will always remember you

thehustlerafrica
Автор

😢😢😢😢😢 JPM baba ulikuwa mshindi wa mambo mengi moja COVID-19 dunia ilikushangaaa lakini kumbe ndio ulikuwa ushindi kwetu lakini mama akaja na yake

shijandobehe
Автор

asie tambua samani ya kitu chake niyule mjinga2 malawi wanatambua mchango wa raisi wetu ila sisi ndio wengne wanasema utawala wake ulikua wahovyo watu walikua wanaiba sana aliwaonea walipa Kodi ili wao wanaonekane ndio watu wazuli ila ila me naamini magufuli kawaondoa watu wengi ujinga hata wasio soma kama una akili unajua kabx kwamba sas tuko juu ya mawe

jumannerajabu
Автор

Ayo mnachelewa sana kuleta hizi taarifa. Ila freshi. Magufuri atabaki kuwa raisi pekee mwenye maono tofauti na hawa wengine wanao tuongoza. Mzarendo wa kweli na anayeonyesha hata kwa kumtazama akichukia uzembe na ula rushwa pia kuwa tegemezi kwa wazungu. R.I.P JPM

josephvenus
Автор

Kunawatu wakeraika kwa ilo jambo, wamejaribu kuifuta historia ya Mzee magufuli ila Malawi 🇲🇼 wameandika nawaona wakijificha mchana kweupe

vt-knqf
Автор

ukweli utabaki kuwa ukweli R, I, P JPM

marcorwegasira
Автор

Hakiki wanaombeza hawana akili timilifu bali wamepungukiwa. Hawaipendi Tanzania

leonardmzenga
Автор

Nawaona MAFISADI NA VIBARAKA WANAVYOTESEKA kuna mtu akifa sidhani kama atakumbukwazaidi yaFAMILIA YAKE

florencemeza
Автор

Magufuli aliniuma kama ndugu yangu wa damu. Pumzika kwa amani kamanda JPM. Mungu ampumzishe kwa amani asimamishe miguu yake panapo nafasi. "Sala yangu na ipae mbele za Mungu kama moshi wa ubani" 🙏

judithgodfrey
Автор

Safiiii sana, tunaomba kitafsiriwe kiswahili.

gracejapheth
Автор

Aisee Kuna Baba wa Taifa na mkombozi wa Africa.lkn sasa Tumeona kwa machoyetu "FATHER OF Tz and DADDY OF AFRICA 🌍" .R.I.P Mwamba.Fungua macho uone Nchi yako ilipofikia sasa

ceankiiza
Автор

Asante Malawi Asante family ya Magufuli Asante Magufuli kwa mema yako bila ivyo leo hii tusing comment sifa njema kwako pumzika kwa Aman 🙏🙏😢

maprosokelly
Автор

Sasa tena kimeandikwa kiingereza ili wakitumie TU wanao tukandamiza jmn yn wasomi wetu hakuna hata Alo andika hata kikaratasi😢😅

ayoublupande