55 SURAH ARAHMAN (Tafsiri ya Quran kwa Kiswahili Kwa Sauti, Audio)

preview_player
Показать описание
(Tafsiri ya Quran kwa Kiswahili Kwa Sauti, Audio)
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mashaallah tabarakaah
Mungu akupe afya njema Naumri mrefu inshaallah
Shukran kwatafsiri ❤❤

abcmnbb
Автор

Arahman, nibariki na liziki ya halali❤❤❤❤❤

HassanJoho-ju
Автор

AlhamdulliAllah my favorite surah❤ Allah Anisamehe mm mja wake mdhaifu in Sha Allah

HassanNasser-fu
Автор

Allah atujaalie pepo na neema zake hizi zinazotajwa tuzipate peponi

allysamjo
Автор

Yarabb nijaalie mwisho mwema na utuepushe na adhabu kali siku ya qiyama, tujaalie rehma zako, wasamehe wazaz wangu madhambi yao, wasamehe waliotangulia

AbdulaziziMikidadi-rl
Автор

Kwakweli na furahi sana
Kipata tafsiri kwa kiswahi Allah awa lipe kila lakheri Allahuma Amini🤲

amissaamani
Автор

Hakika dini ya haki mbele ya allah ni dini ya uislam allah atuongoze kwa yote waislam

HamisiMdabuo
Автор

Mashallah tabarakallah thanks 😊😊😊❤❤❤❤❤

mwanaishaakinyi-lg
Автор

mashaallah hakika mwenyez mungu nimbora w kuumba unasom vzl kk

planbmauwezo
Автор

Asalaam aleykum warhama tullah wabarakatuh ndugu katika iiiman, , kwaaliye tayari kwa sitira namba ii apa+255759016351 tukamilishe nusu ya dini pamoja kwaajili ya Allah inshaallah 🤲

omarykatongo
Автор

Tunaomba uweke kwenye mfumo ambao tunaweza kudanload

hamzakatoto
Автор

Asalamu alaykum wallahmatullah wabarakatu
Lai yangu ni kwamba nikuomba hiiquran iwekwe kwenye mfumo wa download tunapo India utube maana yangu nikwamba hata usipo kuwa na Internet unasikiliza pasi na shakha sauti hii ya quran ninaimani ombi langu litashughulikiwa

ramadhaniyusuph
Автор

Asalam alykum shehe mwenye hii sauti yaani alitafsiri anaitwa nani?

hashimumisanya