OCTOPIZZO - Wakiritho ft Sailors [ItsNambaNaneTv]

preview_player
Показать описание
Written n Performed by Michael Mugo

LYRICS
Mi ni mangaa nakuweka ball ki Sprem Donor.
Mi ni balaa naweza afford Tanasha Donna.
Juzi kwa bar nilimvunja mguu na Johnie Walker.
Hii ni masaa ya vijana tuanze kuomoka.
Mbocca, Weka madem ndani ya Corolla.
Hawker, Leta ma CD tukupe promotion.
Potion, Chain Chain ndio huwa ni motion.
Caution, Miracle Baby HuSurvive Abortion.
Akininyima ntajipanga na lotion.
Niende kwake nimwage ndani jo bila permission.
Mi ni mRekless, Im the freshest, mi ni new edition.
Sisemi that i am the best but sioni competition.
Mission, on a mission kuanza new religion.
Bishop, Wakaritho ndio ako na vision.
Hii shot, before nipige nilimake decision,
Ntaikula from the back juu mi si missionary.
Visionary naona far kaa mataa za gari.
Legendary, everything i do is legendary.
Weh ndio nani kusema Gengetone haiendi mbali.
Hii ni wave huwezi zima jo hii ni Tsunami.
Hii si uchawi iko ndani boss hii ni kipaji.
Yule manZi ako wet juu amekata maji.
Kata maji kaa umeshindwa kuvuta BHANGI.
UKIENDA CHURCH MI HUAMKA KUVUTA BHANGI!!!

#Wakiritho #Gengetone #sailors #octopizzo #bangiafterbangi #freestyle
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Enjoy more videos by subscribing to my channel

JustImagineAfrica
Автор

Just imagine Africa to thee world ..msininyime likes bana😀

hoolikid
Автор

Tena Na tena Na tena 🔥 🔥 🔥 #bhangiafterbhangi 🔥 😂

blackhumourrecords
Автор

😂 😂 😂 😂 Its hotter than the original version

samuelmwangi