POLISI Ajulikanae kama Chriss ''HAJI ADAM'' ajikuta katika wakati mgumu baada ya Shahidi kujitokeza.

preview_player
Показать описание
Inasemekana kuwa kuna mauwaji yalitokea maeneo fulani na mmoja wa ulinzi wa maeneo hayo akaja kutoa taarifa kuwa kuna mwili umeokotwa jirani wanahitaji utambuzi .....!
.
.
Fuatilia Stori hii kali kutoka kwa waigizaji mahiri IRENE UWOYA & HAJI ADAM leo kwenye Tambala.
.
.
Ni JUMAPILI Hii Saa Tatu Kamili Usiku (09:00pm) kupitia Cloudstv.
.
.
Tazama TAMBALA la Clouds Tv kila Siku ya JUMAPILI Saa 3 Kamili Usiku (09:00pm).

Marudio: Jumamosi saa 9:30 Alasiri (03:30pm)
.
.
.
.
Angalia Cloudstv kupitia:

⎮ Azam channel no. 403 ⎮ Dstv no. 387 ⎮ Startimes no. 109 / Antenna 497.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ile movie ya haji juma na lrene woya kurwa kulikua na mapacha wawili masistars tafazari naomba jina la movie

theresamushanga-qcep