Darkid - Tunaendana ( Lyrics Video )

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Yaani kumbe ni nyimbo yako nilifikiria ni ya kp jamani 😂😂😂😂wenye walifikiria kama mm like apa😅😅😅

RoseOwiti-tt
Автор

KAMA UNAMKUBALI DARKID, GONGA LIKE HAPA.
NIPO NASUBIRIA CHUPA.

lelomellowtz
Автор

Tuko hapa shabiki wa kp na zebuu kukusaport darkid

Nuhflavour
Автор

Walokuja huku baada ya kuona wimbo umeimbwa na kp na zebuu naomba mje hapa mlike tujuane🤣🤣🤣wamenifanya niupende huu wimbo na kuujua vlevle

HildaAkili-wtsd
Автор

nyimbo nzur darkid mafansi wa kp na zebuu please like kwangu hata 10 tu

NshomaSayi
Автор

Jamani hii nyimbo nimeipenda kweli jaman chukuwa mauwa yako💐💐💐💐

NeemaAbdallah-qz
Автор

Nyimbo nzur sema nimeijua kupitia kp nazebuu kwann ilijificha❤❤❤😂😂😂😂

mwanaathumani
Автор

Nyimbo tamu sana, , kwann mliificha jamani

esterkimalio
Автор

Darkid umenishangaza sana Kumbe unaimba 😂unajua bana na ile move ya sonaa malizieni basii

Nyotajada
Автор

Mungu awe nawe dackd kwa wimbo mzul kwa ajil ya wapendanao wimbo uko good watanzania 2meupenda

Anordyohana-uqqt
Автор

Hongera sana Darkid, kwa kweli sikujua kama unaimba, tuko pamoja Na tutazidi kukupa support nimeanza kukuona kwa kp Na zebuu kwenye last card

Uwamahoro-fefe.
Автор

Dakid kazi safi niko apa kama shabiki wa kp nawapenda sana sauti nzuri

LUCYKHALAI
Автор

Kumbe Dar kid mbali na kuigiza wewe ni bonge la msanii hongera sana aisee hakika unajua kaza sana kaka 🎉🎉🎉

mrsinia
Автор

Kumbe namm ndo kufaam kama darkid ni msanii❤

CONNECTION_TZ
Автор

Jamani huu wimbo siku ya kwanza nilisikiliza na my love hadi reo nikiuskia akiwa mbali na mkumbuka yey tu kaka hongera unajuwa sana

ZaiShanty-moxp
Автор

Hongera sana IT sema wimbo nimeijua kwa Kp

neemabaraka
Автор

Kumbe we ni muimbaji hodari namna hii nilianza kukuona last card na nikakupenda kumbe we ni mwamba dah wimbo niliutafta nikaukosa nimeupata leo, hongera una kipaji kikubwa

kakalovesimeone
Автор

kila siku nasikiliza hii nyimbo jmn🥰🥰🥰🥰🥰

salmadaomary
Автор

Wow!! Kumbe ww ndio mwenye iyo nyimbo 🎉🎉❤❤❤lovely😂😂❤❤ Bana

RachaelKatana-rf
Автор

Kube darkid ni msanii🥰 wow nyimbo zuri

evemorena