CHEMCHEMI ZA UZIMA

preview_player
Показать описание
Karibu upate kutafakari na Kwaya ya Mt. Aloyce Gonzaga, Chuo Cha Mipango Dodoma.
Wimbo: CHEMCHEMI ZA UZIMA
Waimbaji: KWAYA YA MT. ALOYCE GONZAGA
Mtunzi: F.M. SHIMANYI
Sound Eng: DUKE & SHIMANYI
Organist: DUKE
Video Director: SHIMANYI
Studio: CGen Pro
Mawasiliano: +255765449914
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Huu wimbo umenibariki sana hakunasiku inapita bila kuusikiliza hongera mtunzi na waimbaji kwa ujumla ❤❤tujitahidi kuuishi uinjilishaji wetu wa muziki mkatoliki ulandane na uhalisia wa maisha yetu

AugustinaLebba
Автор

Barikiwa saana nimempata chemchem za uzima❤❤

GetrudaJohn-my
Автор

Waoooo! Mithali 4:23 🔥🔥🔥🥂inabariki sanaaa

FlorentinJoseph-qjfj
Автор

maoni hata.. I'm in Shimanyi jameni 🥹🥹

agnesnelima
Автор

U guys are beyond talented, kweli MUNGU nimuumbaji akuumbe vizuri hivi na bado akupe SIO KIPAJI tu ila VIPAJI tunaposema nimu AMINIFU it is because we have seen he's FAITHFULNESS with our own eyes. This is such a beautiful song indeed May the Almighty Father continue to use u to praise him na Dunia iwatambue kwa hizi kazi nzuri zakumtukuza BWANA kweli kwake zatoka CHEM CHEMI ZA UZIMA zilizo HAI zinazo NG'AA ✨

vivoncevwm
Автор

Shimanyi umeshimanya moyo wangu hongera Kwa utunzi wa wimbo mardadi kabisa mungu akupe maarifa zaidi amina

EDINASIMON-ct
Автор

Mwalimu Shimanyi all the way 🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️ . Kazi yako safi kabisa💯. Mungu azidi kukutunza and May He grant you more wisdom as you preach the gospel through the amazing songs. Baraka tele kaka😍💕

naomibii
Автор

Good job Cgen♥️♥️♥️👌 I'm in love with the song👌🙏

agnetaachieng
Автор

I really love this song.. sauti nzuri zapendeza enyewe hongereni sana. Much love from Kenya 🇰🇪

magymumbua
Автор

Moyo wangu achana na yasiyo kuhusu..dunda dunda unipe tabasamu❤❤❤❤ so powerful 💥💥💥

VelmaAkinyi-ev
Автор

Sweet song powerful message.. Creative writing 👌👌👌

LUMACHORALVOICES
Автор

Heko mtunzi wa wimbo!na waimbJi sauti kweli mnastahilipongezi hasa.Mungu awabariki sana.Maua yangu

immaculataroeser
Автор

Be blessed my brothers and sisters good job love this song so much 🙏🙏💚💙💜🖤🇺🇬🇺🇬💃💃💃

Sylvia-kp
Автор

Tunaanza na melody Kali tunafata steps so pow kaz nzur ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

deodatachaboma
Автор

Mbarikiwe sana kigango hiki mnajuwa kuimba❤❤❤❤❤❤

kwetushunustudio
Автор

Hongereni zaidi 🎉🎉sauti nzuri na tamu Sana ❤❤❤hakika kwa bwana zatoka chemichemi za uzima❤❤

PeterParsimei
Автор

Mungu akulinde mtunzi pamoja na waimbaji

MeryJoseph-bb
Автор

Huwa hubatisha, ukitoa Kazi inakuwa Kazi kweli kweli

WilbertChambilo-ylkc
Автор

Chemi Chemi za uzima in bass oh my laaarwd made me increase volume Kwa system keep it up

eusabia
Автор

Waaaah😂😂😂 sijawai ona utunzi mtamu kama huu ❤❤❤

POZESNEID