DIAMOND atajwa TUZO za MTV EMA kwa MARA nyingine/Anachuana na HAWA...

preview_player
Показать описание
Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe YouTube channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

One love Simba la masimba Dangote haujui 💥💥💥🇧🇮✌️

amipogba
Автор

Wa kwanza Mimi Toka🇺🇲🇺🇲 nipeni like zangu

DelcarkeMunyampala
Автор

Hili jina la Diamond Platinumz bado litasikika sana katika tasnia ya muziki wa Tanzania. Kongole kwake

johnmwasilu
Автор

Kila sehem n Diamond Platnumz ivi nyie wasanii wengine mnafanyaga nn😅😅😅😅😂😂😂😂

ramayonline
Автор

Dydy anausika hapa ! Matokeo ya kwenda kumuona 😅

aristotemohamedmz
Автор

Harmonize Mzee Popo ameachia majini kiwanjani kupambana na votes za Diamond Platnumz.. Harmonize ni laana kwenye Taifa yetu 😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

SifaEmma