WANANCHI WENYE HASIRA KALI WACHOMA NYUMBA MOTO WAKIMSAKA MTUHUMIWA WA MAUAJI...

preview_player
Показать описание
WANANCHI WENYE HASIRA KALI WACHOMA NYUMBA MOTO WAKIMSAKA MTUHUMIWA WA MAUAJI...

Mkazi wa kijiji cha kimashuku kitongoji cha mnadani wilaya ya hai mkoa wa kilimanjaro anayefahamika kwa jina la saidi selemani amenusurika kuuwawa na wananchi wenye hasira kali baada ya kusadikika kushambulia watu wapatao wa tatu na wawili kupotezaa maisha na kitu chenye ncha kali {panga}

Baada ya tukio hilo wakazi wa kijiji hicho walifika mahala ambapo alikuwa amejificha nyumbani kwa baba yake na baada ya kumkuta wanachi walianza kumshambulia yeye pamoja na nyumba.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)

⚫️ OUR PLAYLISTS:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nimeishi kwenye hichi kijiji zaidi ya miaka 10, kwa kweli watu wanaua bila kujali, rip alex, rip uncle, rip mzee wa baiskeli, huyu kilay aliwai kunifata na panga usiku, ningekua mnyonge alikua ananiua jamani,

kinyuamuthumba
Автор

eeeh arachuga hamjaachaga2 jamn arusha kunawatu wkinya pombe huwa wanapigana toka nikiwa mtot yann mmh nikubuka balikeli nashukuru family tulihamaga wallah

surujajwie
Автор

*Waandishi wengine wapuuzi tu huyo mzee wa mwisho amejieleza vizuri tu but still muandisha anauliza suali hilo hilo*

komboomar
Автор

Serekali jamani chukue hatua madhubuti watu wanauana, mauaji yamekuwa wengi Kama polisi

rosetreffert
Автор

Kamata weka ndani wote pamoja na hao .

yusuphkassimu
Автор

Police rushwa imezidi wanaachia watuhumiwa wa mauwaji ndio maana siku hzi mauwaji ni mengi sana choma nyumba hiyo watajijua wenywe

zuleyvendor
Автор

Daadeki hawa ndo wapalestina bwana og eti police wakipigiwa cm wasije ili wakute mmeshauwa na kuchoma moto🤔🤔

cheiknamouna
Автор

Mimi nadhani wananchi wamue huyo kijana ndio zuluu tu police mmezidi rushwa huyo kilei mpotezeni

ednajeremiah