BELINDA - Hendry Kimario

preview_player
Показать описание
Karibu utazame wimbo maalum wa Hendry Kimario akimuimbia Mkewe kipenzi Belinda siku ya ndoa yao Tarehe 01 July 2023

WIMBO : BELINDA

MTUNZI : HENDRY KIMARIO

AUDIO BY : HOLY TRINITY STUDIOS

VIDEO BY : IRIS EMPIRE

#harusi
#mpendane
#ndoa
#divinevoices
#DV
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Voice imetulia hongera Sana kaka mkubwa

irenekimey
Автор

Kaka Kimario sisi tunakupa Hongera Zetu za kipekee unapoanza Maisha Mapya ya ndoa. Mungu na awabariki Kwa halo na mali. Muishi pamoja Kwa Mapendo na Furaha. Wimbo mtamu sana wa mapenzi. Umefanya kazi ya Ziada sana. Keep it up my brother🎉🎉🎉❤❤

thepebrisfamilygracedbless
Автор

mimi unenikosha hapo “ kwa uzuri ni mrembo umewashida wote... hiyo verse kali kinyama asee

DolphinMT
Автор

Hako kaguitar kameweka ladha flani amazing

marysemufali
Автор

Sina mengi ya kusema thankyou very important 🤭🤗🤗🔥

GOLDEN_CHOICE_STUDIOS
Автор

🔥🔥🔥Mwenyezi azidi kuwatunza safiii sana👌👌🤝

agripinahillary
Автор

Hongereni mnooo. So sweet song. Amazing ❤

cleotildatemba
Автор

Mkuu habari yako? Nikihitaji kutungiwa nyimbo ya ndoa, gharama ipoje Mkuu?

namponecomedian