RAIS MAGUFURI - PAULO SIRIA

preview_player
Показать описание
Sio maamuzi rahisi kwa Rais wa nchi kuruhusu ibada ziendelee kwenye nyakati ambazo tunakabiliwa na janga la Corona.

Inahitaji misuli ya imani kufanya maamuzi haya.
Tunamuomba MUNGU asimame na Tanzania, asimame na Rais wetu na viongozi wetu katika kipindi hiki kigumu.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Tuliyo Rudi kuangaliya Tena tukiwa na majozi baada ya kumpoteza kipenzi ya watanzania gonga like tujuwane

innocentwilliam
Автор

Pongezi Sana paullo wimbo huu unabariki Sana barikiwa sana likes from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

sylviahslyelvo
Автор

from kenya here i am, msininyime like za kufunga makanisa na misikiti kenya..

evansbesa
Автор

Hongera Sana kaka kwa kututia moyo kwa muda mchache tu nimependa nyimbo zako naomba rais magufuli akutazame kwa jicho la pili barikiwa Sana🙏🙏🙏🙏🙏

betricejohn
Автор

🇰🇪kenya tunakupenda paul, Tanzania our brothers and sisters we love you, mungu awabariki

fridahkarimi
Автор

Nyimbo imenigusa kwa kweli Mungu akikabidhiwa Nchi vipepo havina maskani tena ktk Nchi, yote ni kwa jina la Yesu kristo tunaomba na kupokea

dicksonkilupa
Автор

Wa kwanza jamani naombeni like za kutosha tukionyesha umoja wetu kama watanzania, na tuzidi kuliombea taifa letu Mungu atuepushe na janga hili la corona

miltonstephano
Автор

Hakika Mungu ana watu kwa Kila kabila, Mungu akuinue zaidi ubarikiwe

happyelias
Автор

Ashia like yako hapa kama umemkubali paulo na tuungane kwa pamoja kuliombea taifa letu

juliaslengai
Автор

Imagine magufuli alivyo pendwa leo atupo nae tenaa jamaniii leo hatunae tenaa jamanii kweli rais wetu tulikupenda kapumzike kwa amanii baba yetu 😭😭💔💔💔💔💔💔💔😭😭😭

wahiduitsverycommentmane
Автор

Hiyo wimbo yako nimeitazama Kwa siku mbili na, Niko Kenya na sitosheki balikiwa sana

lydiawangechi
Автор

Wewe utakwenda mbinguni tu hongera sana mwezetu nuru ije kwako🧚‍♂️🧚‍♂️🙏🙏🙏🙏🙏

silingonjokorde
Автор

Hongera San Paulo kwa nyimbo nzuri, , hakika rais wetu ni mungu katupa bahati, ,mungu ampe miaka nyingi rais wetu

josephmolel
Автор

Ubarikiw Mr Paulo njimbo zako zote hua zinatuinua kiroho na kimwili Be blesse brother

hellenashely
Автор

Honestly najisikia fahari kupata kuishi ktk kipindi ambacho MUNGU wetu amepata heshima ktk Naungana na wote wanaomtukuza Mungu kwa kutupatia ZAWADI YA KIONGOZI KAMA MUHESHIMIWA APSTLE & DR. JP. Rais alizaliwa maalumu kabisa kwa AJILI YA WAkati kama huu

Ansel.
Автор

Kama umesikia waebrania 13:17 sema Amen 🙏🙏

paulsengelemasengelema
Автор

Nilikuwa sikufaham kabisa kupitia nyimbo hii nimekufaham na kukuelewa hongera sana

bathromeobalisimula
Автор

Hongera sana Paul, ni Wimbo wenye ujumbe mzuri kwa kipindi hiki cha ugonjwa wa COVID -19 Ili tumrudie Mungu wetu.

ezraplubwaza
Автор

I'm a Malawian but I love this song it's really powerful and I like your voice may good Lord bless you brother Paulo Siria keep it up🛐🛐

manuelmalunga
Автор

Mungu ni mkubwa kisichowezekana kwa mwanadam kwake kinawezekana mbarikiwe wote na tanzania nzima🙏🏻

martinmhomi