KANDO YA MITO YA BABELI

preview_player
Показать описание
Elipidius Respicius
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Niko darasa4 nilipata kusikiliza hii nyimbo na kuimba pia nilifili like niko uko babeli...amazing

adreadruumasawe
Автор

nashukuru tuendele kkumbuka mateso ya Bwana yesu

veromollely
Автор

Huu wimbo unanikumbusha siku nilipi weka agano na Mungu wangu....

😢😢

focuskalunde
Автор

Novembar 2024 bado tunasikiliza nyimbo zetu pendwa hakika ni simlizi nzuri sana na yenye kutujaza imani kubwa ktk Uinjirishaji🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

justinemaingu
Автор

Ahsante sana naomba na wimbo wa Mungu Ni Mwema Kwangu

faustinepeter
Автор

Na jazwa ni napo sikiya maneno ya zaburi hiyo.

mushagabunani
Автор

Wimbo unanikumbusha Bibi yangu mama makungwa alipoiaga dunia 😢

joycemakungwa
Автор

Kando ya mito ya babeli ndipo tulipokeeeti tukalia tulipoikumbuka kumbuka sayuniii.

luischoma-wwdb
Автор

Nyimbo hiii inanikumbusha Wakati na patakipaimala

emmanuelybonifase
Автор

Nazidi kupokea baraka nyingi nisikiapo nyimbo hii..

missflorah
Автор

Add a public comment...this is so good

MARTINUS_DAVIE
Автор

iyo ni kwaya gani? natamani partition niko Congo DRC

samuelluzingu
Автор

Lalamiko la uchungu, mtu anapotengwa Muumba wetu.
Vinubi vinatundikwa badala ya kuongoza mziki wa Bwana.

furahajames