filmov
tv
MCHEPUKO Amuua MKE wa MTU Baada ya KUMFUMANIA AKICHEPUKA na MWANAUME MWINGINE...
Показать описание
MCHEPUKO Amuua MKE wa MTU Baada ya KUMFUMANIA AKICHEPUKA na MWANAUME MWINGINE...
JESHI la Polisi mkoani Kagera linamshikilia kijana mmoja aitwaye Derick Dambuve mwenye umri wa 26 kwa kumuua mke wa mtu, aitwaye Helda Amon (28) na mwanaye Gladness Amon (2) baada ya kufumaniwa na mwanamke huyo (Helda) akifanya tendo la ndoa na Kajere Ibrahim (mchepuko mwingine) nyumbani kwa Derick.
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Kagera, Revocatus Malimi, amesema kuwa tukio hilo limetokea Agosti 22, mwaka huu katika kijiji cha Mukoma wilaya ya Ngara mkoani Kagera na uchunguzi wa awali umebainisha kuwa Helda alikuwa mke wa mtu, ambapo yeye na mwanaye Gladness walikwenda kijiji cha Mukoma kwa ajili ya kushiriki mnada wa gulio, akiwa gulioni hapo aliingia kwenye kilabu cha pombe ambako ndiko alikokutana na Derick na kuanzisha mahusiano.
Imesomwa na Felista Massae.....
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ OUR PLAYLISTS:

'MCHEPUKO' AMUUA MKE WA MTU KISA KUTOA MIMBA YAKE!, MUME ASIMULIA kwa UCHUNGU - 'SIKU...
FUMANIZI: MUME AMUUA KIKATILI 'MCHEPUKO' wa MKEWE, ALICHATI NAE AKAJA Hadi NYUMBANI, MKE A...
Mauaji ya Kutisha...MCHEPUKO Amuua MKE wa MTU kwa Kutoa MIMBA yae, Mume aongea kwa UCHUNGU
UNYAMA: MUME AMPASUA JICHO MKEWE, KISA MCHEPUKO AMBAYE NI MKE WA MTU, MKE AANGUA KILIO AKISIMULIA!
MKE ANAYEDAIWA KUMUUA MUME WAKE AJIFUNIKA MWILI MZIMA MAHAKAMANI, HAKIMU AAMURU AVUE SURA IONEKANE
MCHEPUKO AUA MKE WA MTU NA MWANE KISA KAMFUMANIA NA MCHEPUKO MWINGINE
TUKIO la Mama ALIYEMCHINJA Mwanae na KUMPIKA, Ndugu WASIMULIA 'KICHAA'
MAPYA YAIBUKA NYUMBANI MUME ALIYEUAWA NA MKE MOSHI 'ALIMJENGEA MKE MDOGO FAMILIA HATUJUI'
JAMAA AKATWA MASIKIO YAKE MAWILI BAADA YAKUKUTWA NA MKE WA MTU KICHAKANI
ADAIWA KUUA MCHEPUKO, 'ALIMFUMANIA MKE WAKE, TUNAMSHIKILIA'
MAUAJI KISA MAPENZI: Tazama Mchepuko Alivyomuua Mke wa mtu “AMETOA MIMBA YAKE”
LEMA WA ARUSHA ADAIWA KUMUUA MKE ILI AOE MKE WA PILI 'ALITUMIA RUNGU'
MPOKI AMUACHA HOI MSTAAFU KIKWETE 'BABA YAKO ALIMFUATA MAMA YAKO KWA BAISKELI'
MKE WA MTU SUMU ME NIMEKUNYWA MAZIWA😭😭
fumanizi cheki.mchepuko anavyo mfanya mume wa mtu mke wake katokea
MUME WA MKE ALIYEFARIKI KWA AJALI AKIMKIMBIZA MUMEWE NA MCHEPUKO, NAYE AFARIKI...
Shuhudia Mwanajeshi JWTZ aliyeua Chatu anaemeza Watu bila woga. HII NDIYO HAZINA YA JESHI LETU
AUWAWA NYUMBANI KWA MCHEPUKO, FAMILIA WAZUNGUMZA 'MKE WAKE ALIKUWA AMESAFIRI'
HUYU DADA MCHAWI
MCHEPUKO ADAIA KUUWA MKE WA MTU/ AMTUHUMU KUTOA UJAUZITO
#TAZAMA| HUU SASA NI UKATILI MUME AMPIGA MKEWE HADI KUMUARIBU JICHO, NA KUKIMBILIA KWA MCHEPUKO
MWANAJESHI FEKI WA JWT AKAMATWA TABORA
MKE WA ALIYEROGWA NA MCHEPUKO APIGWA VIBAYA NA MUMEWE USO WAHARIBIKA CHANZO KITAKUSHANGAZA/HIRIZI?
Mke Amuua Mume Wake kwa Kumnyonga😭🙏..#shortsvideo #trendingvideo #viralvideo
Комментарии