MASHA LOVE: DIAMOND ANAPENDA KWA MPALANGE/ DR KUMBUKA SHOGA/ NILIZAANAE KWA BAHATI MBAYA KAOZA....

preview_player
Показать описание
#TOPLEVELTZ
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Me nipo busy kuangalia matunda ya pua tu😂😂😂😂😂😂

LindaMbilinyi-ps
Автор

Ushamba mwingi... Sifa nyingi... Ujuaji... Samahani mungu domo hilo... Maneno mengi...

alshumukhtravel
Автор

Kila binAdam atakwenda kuulizwa na Mola Muumba (Allah) kutokana na neema alizozipata na ataulizwa alizipataje na alizitumiaje?

alhaddajmohammed
Автор

😂😂😂daah masha kanichekesha jmn eti hajawahi kuvaa sdiriya

ashirashebila
Автор

Midomo ya namna hio wanakuwa na mabunye
Mark my words 😂😂😂

HerryMtachi
Автор

Waandishi wa habari mnakwepa kuwa hoji wezi wa nchi hii lakini mnatumia muda mwingi kuwa hoji hao malaya.

nelsonnyamle
Автор

Eti amevaa nini? Sigilia ama sidiria? Hapo sjaelewa vizuri.

mandelanelson
Автор

Ulivyo ni kama bomu linasubiri kilipuka jamani

nelsonnyamle
Автор

Kula yenu ni huo uchawa wa kusifia matajuri au?

nelsonnyamle
Автор

Jamani elimu ni kitu muhimu sana. Wabongo mnatutia aibu. Hiyo gari ya Dimond km hamjawahi kuona gari ni hio tuu...?

umfahad
Автор

Waandishi kuweni na akiri timamu jamani huyu ni chizi jamani angalieni watu wa kuuongea nao

evansdecaprio
Автор

Kama urembo niivo duh! Miaka 10 ijayo naona tutaoji majini kwa interview

kamaratsalimsafari
Автор

Nyumba ndogo kwa mume Gani aliyemuowa, duh ziwa saa sita, mda mwengine wanaume muangaliye wa kuzaa nae.

julihanjosephyjs
Автор

Tulikua tunasubiru private jet ndo Io au

luludisniper
Автор

Kwani gari ndio nini hata mimi ni mtoto mdogo lakini kwangu gari nikama basikeli huku marikani duuh sio kitu gari wallah sio Mwamba najitapa

hanifamasudi
Автор

Hizi makeup zenu ...mko kama majini mahaba yani ...yuafaa atishie mtoto kama ataki kula

laurarose
Автор

Mdomo kama bata mzinga fala wewe ukuwadi utakushinda.

ashaali
Автор

Why she's talking too much this lady. No no no is too much

lulungutambwe
Автор

Elle n'est pas Belle, Elle parle trop beaucoup de maquillages

lulungutambwe