S2kizzy: Diamond Platnumz album yake ni Bora Afrika / Awaongelea Jux, Marioo, Rayvanny, Moni, Weusi

preview_player
Показать описание
Producer S2kizzy ameitaja album mpya ya Diamond Platnumz kuwa ni Album Bora Afrika, ambayo wamekua wanaiandaa kwa muda sasa, aelezea Safari ya maandalizi ya Album hiyo Afrika Kusini, Marekani, Zanzibar, alezea jinsi walivyokutana na Diamond Platnumz mpaka kuwa karibu sana kwenye kazi na kuaminiwa na Diamond mpaka kuandaa album yake?

S2kizzy (Zombie) ameitaja vibe ya kila msanii akiwa naye studio wakirecord, list ya wasanii anaowakubali zaidi.

Zombie, S2kizzy ameelezea bei za beat zake $1000 na wasanii walivyochukulia, kuvamiwa studio, kuharibika kwa vifaa na kurudi kufanya kazi tena, Kuachana na mpenzi wake wa zamani, Model Tuerny, alichukuliaje kuona ana date na Producer mwenzake Baddest 47?

Tazama full interview ya #S2kizzy kwenye #SwahiliRadioPodcast na #LilOmmy kujua alivyoanza kufanya beats kabla ya ustaa na mpaka sasa, Like interview hii, Comment na Share kwenye magroup yako ya WhatsApp na Mitandao ya Kijamii.

#LilOmmy #S2kizzy #Podcast #SwahiliRadio #Audiomack

Download Audiomack App on your mobile device

Let's Connect

Subscribe, Gonga Like, Angusha Comment na Share kwenye WhatsApp Groups au Facebook na Twitter.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Zombie mi nime kujua kupitia Mnyamwez country wizz xo big Apriciate KWAKE...!

peacerapha
Автор

Jamaa ameongea kweli tupu hasa kuhusu background yake... i studied with the man.. Binafsi naenjoy kuona jamaa kafika hapo.. #juhudi #bless

elimumwaipaja
Автор

Ila OMMY Unakipaji Kikubwa Sana Hongera Brother THE MVP Kizazi Sana✊👊

ibrahimwisdom
Автор

S2Kizzy, , , , Oscar Library.... unaikumbuka vema mkuu... kipindi unajifungia ili sauti isipenye.. Duaaa kaka

elimumwaipaja
Автор

Kwiro boys for life S2K nakumbuka ile siku ulitupa burudani welcome form v na tulikukazia form six lkn dah tulikubali wenyewe, shout out to our school president kwa kututuliza na tukusikilize na tuliona kipaji chako kaka sema lile jimbo ulilotuimbisha kwa kuitikia Dar es salaam lilikuwa hatareeee🔥🔥🔥🔥🔥🔥.

rashidikawanga
Автор

I think Quick rocka (swither Baba)is underrated ... switch records is owned by Quick Rocka na huko ndo wametokea kina Nahreel, luffa, Amy waves and s2kizzy Hawa ni vichwa kwenye production mostly international hits

saidabdulkadirmjahid