Joseph Mutente - Ahadi (Official Video 4k )

preview_player
Показать описание
#JosephMutente #WorshipSongs #Ahadi #Haubadiliki

Artist- Joseph Mutente
Call +255717788200
Music Produced By- Samuel Yonah
Call +255767465500
Video Directed by- Director Dany (Daniel Malle)
Call +255718843374
stage and lights
Daniel Joram
Call +255715033232
BTS and Photos
Ephel Brand Studios
Call +255758265888
Special Thanks to
Ahadi Team
Meshack Kapula, Solomon Nicodemus, Joseph Maua, Ivan, Yusuph Afred
Joel, Frank Msapa, Kelvin Luko, Baste Mtela, Angel Masanja, Gladness Kyaruzi, Perus Jacob
special thanks to City college(Mikwmbe Kigamboni)
and Eloi worship centre (kigamboni)
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Gonga like hapa kama umeirudia hii nyimbo zaidi ya mara moja

dondon
Автор

Hongera sana mtumishi wa Bwana Kwa kazi nzuri. Mungu azidi kukuinua zaidi .

neemadickson
Автор

Ahadi zako ni Kweli Ukisema Bwana watimiza
Haubadiliki Haubadiliki Haubadiliki Bwana

Mkono wako si mfupi hata usiweze okoa
Sikio lako sio zito hata lisiweze sikia

Dah Asante Mungu kwa Ujumbe huu mzito hakika haubadiliki

sasamusic
Автор

Mungu akubariki sana kwa kazi hii nzuri Mtumishi mwema.. Azidi kukuinua

dr.eliastewart
Автор

Wow
Hongera sana rfk yangu Mungu akukuze mtoto mwaminifu mwizraeli halisi

heben
Автор

Wow... finally we have got it....so touched....so blessed with the song!!

nengalaiser
Автор

Doooh the covenant keeping God
#HeNeverChanges

ObbyAlpha
Автор

Mungu azidi kukuinua.Ahadi zake ni kweli.barikiwa mnoooo

nelicembanza
Автор

Hakika habadiliki 🙏🙏 hongera bro Mungu asiyebadilika azidi kukuinua na aipe kibali huduma aliyoweka ndani yako

mamfrola
Автор

Hongera mtumishi, YESU KRISTO AKUINUE VIWANGO VINGINE

hassanobadia
Автор

Wow...its dope
God bless you man of God

meshackkapula
Автор

GOD ALMIGHTY bless this work, be blessed too Joseph Mutente

emmanuelsima
Автор

Nabii kazi iko vizuri sana ubarikiwe mno

kazidibaraka
Автор

Waoooo!! Kumekuchaaaa!!! Mungu akubariki sana! Bonge la utukufu kwa Mungu

elibarikimkumbo
Автор

JEHOVA akupandishe ufike anapotaka ufike....Mimi namtukuza Mungu mno Kwa ajili yako...

esterchananji
Автор

Jo kama Jo
Be blessed Bro This is Big for sure.

mpokijohnmlawa
Автор

It's a great song Servant! Barikiwa sana

estherlemther
Автор

Umenibariki sana kaka Mungu akutunze akuweke juu ya hekima yake

eliasibayo
Автор

That's my real broo... keep it up broo 💪💪👏👏

danielndonyo
Автор

Mungu akubariki sana kaka, tuko huku galilaya tunaendelea kubarikiws

kato_tz
visit shbcf.ru