MBOWE, WENZAKE WAONDOKA KISHUJAA MAHAKAMANI/NYIMBO YA KATIBA MPYA YATAWALA

preview_player
Показать описание
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV ( +255 767 400402),
🔘WhatsApp ( +255 692 318213)
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Uongozi uliopita ulikuwa chini mtu mkatili Sana hakuwa tofauti na idd Amin kama mmaikua historia. Kama hakuwa na hofu ya mungu japo aliwapumbaza watanzania kuwa ni mcha mungu. Watu wengi waliumizwa Kwa maelezo yake. Viongozi wenzake walimuigopa Sana hasa baada ya kupigwa risasi Kwa mhe tundul lissu hadharani. Alipotekwa mo dewji na kinyanyanuwa baadhi ya Mali zake kila mwenye kupenda uhai wake alikihami na mwendazake Kwa sababu hakuna aliyekuwa salama. Ikiwa angrtofautiana nae

bertinkimati
Автор

Kwa uongozi uliopita wasingeweza kufanya hivo na ingekua tayari mabomu na majeruhi yameshafanyika na pia tayari ingekua wameshachukuliwa hatua hatua Kali. Na kuambiwa wameandamana kinyume na Sheria.

khamistano
Автор

Nilijuatu mwamba mutetezi wawatanzania atoboe Mana analindwa namungu

papaamashana
Автор

Kwanini chama cha ccm wanaogopa sana KATIBA MPYA? Kuna siri gani apo? Nikumanisha uwezo wao wakufikiri umefika mwisho. Sasa wanatumia mbinu kupata ushindi na wengi wao ccm wanaijua Dini sasa wajitayarishe moto utawawakia dhuluma sio njema.

adammjomba
Автор

Endelezeni hivyo hivyo barabarani pasina ukomo

margarethsolomon
Автор

Mbowe angekuwa na Akili angefanya mambo sawa zamu ijayo angeshika Usukani, sasa nimeshamdharau ovyo anaanzisha vitu hawezi endeleza,

trophywilson
Автор

Hamna kitu hapo hiyo ni ngonjera ya YouTube yako ipate watizamaji wengi kesi ya ugaidi inataka uchunguzi wa hali ya juu serikali siyo wajinga poleni sana chadema mtaimba sana

margarethpolepole