Vita Yaibuka GHAFLA ,DIAMOND Awaweka Mtu Kati MWIJAKU na BABA LEVO ,Wataka Kuzichapa Mbele Za Camera

preview_player
Показать описание
Vita Yaibuka GHAFLA ,DIAMOND Awaweka Mtu Kati MWIJAKU na BABA LEVO ,Wataka Kuzichapa Mbele Za Camera
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Diamond We ni mwanaume!! Bilevo Ba na mwijaku Uponao sambamba 1 love🦁

ramuuprezdar
Автор

Mwijaku talented uyo h mama muache alie

hijjasaid
Автор

Mi simba jaman lakin babalevo ananikosha

gracselin
Автор

Da Hawa jamaa baba levo na mwinjaku ni hatari huwa nafrahi Sana

omarmussa
Автор

Mwijaku anaongea vzr lakin Baba levo anaropoka sana

grande
Автор

Pia naimani kua hakuna ugonvi kati ya Hamo na mondi ila nachokijua nibiashala2

pacomnyama
Автор

Sasa nyie mnasema Hawa ni wehu wakati wenzenu wanapiga mpunga.

ghost
Автор

Diamond mwijaku anavyomponda mwana wa mwenzie..Leo hii wako Bega Kwa Bega Tena Meza moja Na diamond

فاطمةفايز-غغ
Автор

Awa yanga na simba kweli mwijaku na baba levo

newfantastic
Автор

Mwinjaku mtu njaa sana kupenda harmo unampenda ila tatizo ahana pesa

Leo hii ume ama Kama h baba kiss pesa jamani mwenye nazo simwenzako ucheni ujinga wa Kiki mondi mtu Atari sn Mr tajiri

TheFrankTabasamboy
Автор

Mbona sie tupo mbari na tushafanya zawadi tunapataje

shaniashani
Автор

Hahahhaha daaah diamond aseee ww kboko salut

hemedchuma
Автор

Hawa hawana ugomvi oote wana michongo yao

thomasmapigi
Автор

Wajinga ndio waliwao.... Allah amekataza kamari tujizuieni sana waislam tusim asi mola wetu

nishumedy