Zari The Bosslady apuuzia video ya Wema Sepetu na Diamond Platnumz

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Safi sana Dangote😂😂, Wema ni single Dada na Diamond ni single Father tatizo liko wapi sasa, mambo ni hivi🔥🔥🔥 love you *Wemasepetu*😘😍

saumuhassan
Автор

Ataka kushindana na zari azae kwanza vingenevyo imekula kwake zari ndio kusema👏👏👏

hassanovajunior
Автор

Hongera xn mama T ww ni mke wa kuigwa mfano wako ni fundisho tosha kwa wanawake malimbukeni wamapenzi. Ww kwako kz ndio kila kitu. Safi xn.

othumansuleiman
Автор

Diamond heard never married. It's time now to marry his true love wema.

susanseebich
Автор

Kabla hajaenda alimuaga zari nakumwambia naenda lakini wema atakuepo akuna shida

jeanmalilo
Автор

hola ndio maana nampenda Zarithebosslady mwanamke anajielewa yeye atembeze tu hilo joka lake

nazmaabdul
Автор

Zari nkupnda cz unajituma tna uvumilvu, Allah azidi kkupa nguvu

sandrasandra
Автор

Hongera sana mama T.kimya chako kimefanya nikupende zaidi.

lizy
Автор

Bro achana na huyu mtu bhna What goes around comes around

kemmypius
Автор

Mapovuu hayo watu wanasaka hela ngoja card ya harusi zari on july

sayedaakter
Автор

alaf nimechunguzaaa nikagundua channel hii ni team zarii mana si kwa kumfagilia hukooo hamuchezi mbali na zarii wala hamuoni kosaa kwake hongeren

mamywardah
Автор

Ana muogopa Wema sepetu lol, ange kuwa Mobetto wala ha singe kaa Kimya

chantalmulasi
Автор

lazima amuogope wema Kwa sababu anajijua kama yeye alimchukua Dai Kwa wema sasa zari atasema nini hapo lazima akae kimya

fatumahengo
Автор

Atasema nini anajuwa dai anampenda wema kulliko yeye lazma ajifanye hana habari iliasimkose daimond maneno ya mangi kimambi ni sawa aende wapi ni watoto wote wale bora ajitulize hapo hapo

freedaali
Автор

Ongeeni wenzio wanapiga pesa tu haya mama dangoti huna neno mama

zennakailo
Автор

Ingekuwa mimi this. is time to have everythig from Diamond. lol.

ashabakke
Автор

Expliker moi com zari a réagit face a la situation wema et diamond s'embrassant. Je sais ke wema est l'ex de diamond alors keski ses passé? Depuis la cote d'Ivoire afrik de l'ouest.

georgettetiemele
Автор

WEMA HAJAZOEA MWANAUME MMOJA LAZIMA HILO MLIJUE.
HATA DAIMOND AFANYE NN BADO WEMA HAEZI KUA NA JAMAA MMOJA.MMMH HIO HAWEZI KABISAAA

fridahbeker
Автор

Ndio Dawa zari kunyamaza ndio Dawa yamuerevu kunyamaza nimefurai kunya maza kwa zari

halimakipendo
Автор

Zari kimya chako ndio jibu ni ya kupita
ponda maisha na wapenzi watoto wako.

fallymetoo