MANABI WA UOGO BY NDACHA (KASARANI DAY 5)

preview_player
Показать описание
WARNING OF LAST DAYS, ni channel ya kujulisha watu ukweli na kitabu cha mwenyezi mungu,nakutagaza ujumbe wa malaika wa tatu(ufunuo 14:6-5)_lego letu nikutetea Neno la MUNGU yaani bibilia , ili tuweke wazi Imani ya kweli,pia kuwajulisha kabila zote na jamaa na dunia zima ujumbe wa malaika wa tatu yaani ujumbe wa mwisho
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

I repent for being look warm Christian. May God forgive me. I cried ooh Lord forgive me. I repent for being a sleeping Christian.

cyrusmutsami
Автор

Mwenye kusikia na asikie, maana neno ndio taa ya njia yangu wala sio manabii. Eee Yesu Kristo nitongoze katika Imani na sio kuona kwa macho yapendayo miujiza. 😢

gekongachacha
Автор

Karibu kuria mtumishi watu wanasumbuka na utatu mtakatifu

raelmsafiri
Автор

24:11 matayo
24:24
7:15 matayo
14:14 yeremia
8:20 isaya
13:17 waebrania
18:20 kumbukumbu latorati
😂😂😂😂😂😂😂

chance
Автор

Ndacha yuko sahihi anafata biblia inavyosema

PascalMbilinyi
Автор

Hao wenye wanawanandiaka mambo ya Biblia kulingana na akili chao!!!!Plz mtu awe anasudia kwa Biblia ya MUNGU❤❤❤❤❤

PeterMwendia-uc
Автор

Barikiwa myumishi welcome to lolgorian

KerroffinNyamai
Автор

Barikiweni sana watumishi wa mungu kwa mafundisho ya uzima nawapenda sana 🥰🥰🥰🙏🙏

furahag
Автор

Asante sana Ndacha na karibu hapa olkalou

johnkimani-vmvn
Автор

Ndacha nini maana ya Agano? Na nipe tofauti ya agano jipya na agano la kale

ChimiwaSaccosLimited
Автор

Okoka, kuhubiri bila wokovu hupitani na wanaokmbea wafu. 2kor 6:2, Yoh 4:20-24, Gal3':15-23-24-29, Rum 8:1-9. Hapo hapo ni nabii wa uongo wewe, 1kor 12:1-3. Amen

MichaelAbel-sr
Автор

Wewe kafiri hauna lolote hata haujui mama yako

hassanadam
Автор

Hellen g white ndio Mungu wenu we mnafiki acha kudharau wachristo wenzio yesu anafaa ahubiriwe siku yeyote usabato ulishatoweka

johnwoshi
Автор

Duuuhh wewe kazi yako ni kushambulia makanisa tu. Unataka wakristo wote wawe wasabato?, aaah maajabu kwelikweli.

SamsonHumbe