Gospel Allstars - NENDA (Lùbùnga):Stephanie ,Jems ,Antoine, Israel,Boneface,Mk,G best,Mg lambert.👇

preview_player
Показать описание
Salumu,Ezekiel,paul,bitisho.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nimekuja ku watch tena baada yakupata taarifa ya kifo chako Saint Stephanie 😢😢eti na weye unaimbiwa nyimbo eti lala salama 😢😢

zedy_hope-pdkn
Автор

😔😭Amen “kuishi ni kristo na kufa ni faida kwa kila mkristo wa kweli “🙏🏾😔😭😭

jennyleemee
Автор

This song is make me cry 😢 😭 MUNGU atupe mwisho mwema sote

barakadieudonne
Автор

😭😭😭Rest in peace Pastor May the Lord give everyone a good ending.

Jesus_Is_The_King_
Автор

Nimelia sana ka Stephanie kbs 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

Bymary-jiog
Автор

Kuishi ni Christo na kufa nifaida kwakila mchristo wa kweli RIP 🥺

PrincessOm
Автор

Pumzika kwa amani mtumishi wa mungu nalia 😭😭😭😭😭😭😭

saidibaraka
Автор

Kuishi Kristo na kufa faida kwa kila mkristo 😭😭😭🙏🙏sote njia yetu moja

masokadian
Автор

❤❤❤ Heri mtu yule aliye kamili katika Bwana 😂😂😂

jacquesjorance
Автор

Utakumbukwa daima uncle 😭😭 rest in peace ✌️ ❤

emelinaeliasi
Автор

Na wewe Leo Eti unaitwa marehemu Dunia Bure kweli 🥹🥹😭💔💔🕊🕊

RizikiQueen
Автор

Mungu aifariji familia ndugu jamaa na marafiki. Sote wapitaji.

FranckWendo
Автор

Pole sana watumishi wa Mungu 👏📖, comment from Zimbabwe-Harare 🇿🇼 Africa

mil-gospor
Автор

Mungu akupe pumziko njema uko peponi. Watoshika mtumishi😭

mariasamuel